kuhamisha ni simple sana kama utakuwa umeshainstall hiyo xender kwa pc yako na kwenye simu unayotaka kushare nayo hizo files unatakiwa uwe na xender kisha utazifungua zote ya kwenye pc na ya kwenye simu hapo kwenye xender utaona kuna options mbili ya share na ya receive sasa kama ni kushare kutoka kwenye simu kwenda kwa pc utagusa share kwenye simu yako na pc utagusa receive yenyewe itacreate wireless link na utaanza kuhamisha ma files yyte yale kuanzia movies,pictures,phone games,roms,documents,na mengineyo meeengi tu (yenyewe ukishaofungua kwa mara ya kwanza itakupa maelekezo mkuu)
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app