Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android


Mkuu mambo vp. Hope upo okay, naulizia app ya kurecord kinachoendelea kwenye screen ya simu kwa njia yake video.

Let's say mtu ameniomba simu naweza kupata itakayorecord kile anachofanya kwenye screen then akinipa simu yangu niweze kuona alifanya nini na nini kiongozi.

Thanks a lot bro.
 
kuanzia muda gani inakua hivyo
 
Kwangu mimi sijaona kama hii mkuu japo zipo nyingi
 
Kamata App moja inaitwa SCR Pro hiyo ni mwisho wa yote.
Utaipata Aptoide kama unayo.
 
unaanzia wapi unamalizia wapi ama komputa inahusika?
Hiyo App huipati hata ufanyeje. Kama uli uninstall itategemea na app uliyo futia, kama ina recycle bin nenda u restore, kama haina basi hapo u flash hiyo simu. Maana ile ni bult in App. Tena ipo kwenye private app. Ukifuta hiyo app kibao zitazingua ikiwemo dialer au phone nk
 
Kamata App moja inaitwa SCR Pro hiyo ni mwisho wa yote.
Utaipata Aptoide kama unayo.

Ndo hii mkuu mwisho wa maelezo maana review zake tu mbovu wadau wanalalamika hata rate yake 3.8 hata nne hajjafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…