Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android





All PDF android app ni app ya kufungua faili za PDF na zana kibao za PDF naendelea kutengeneza, Tafadhali toa maoni kipi kiongezwe
 
Salama wakuu naombeni msaada wenu nnatatizo nilikua naapdet whatsap sasa nikasaau kufanya backup ili mesej zangu za zamani zirudi je nifanyeje nizipate mwenye kufaham msaada tafadhal.
 
Naiona sana hii Apps!
Instant Apps ni nini hii?? Na inafanyaje kazi?

 
Naiona sana hii Apps!
Instant Apps ni nini hii?? Na inafanyaje kazi?

hiyo hata mimi huwa inatokea hasa kwenye simu za samsung mara nyingi ni baada ya kuiwasha na inachukua kama sec 10 hivi
nahisi apps zitakuwazinajiweka sawa
 
wadau mnisaidie app ya kuedit video kwa kueka text katk video
 
Mkuu nijibu nina simu Samsung Galaxy J7 Prime na TV pia samsung smart shida sioni HD picha nikiconnect mobdro kwenye TV. Msaada pls. Au nimedownload wrong APK?
Kwanza angalia hizo chaneli kama ni HD, kwa sababu sio chaneli zote za mpira kwenye modbro ni HD.

Lakini kama chanel ni HD lazima itaonyenyesha HD tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…