Ongeza muda wa maongezi kwa ku 'scan' vocha. Inapatikana Google play store Vocha Master – Applications Android sur Google Play
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ID imefufuka lini aisee? Karibu mkuuRemix OS si app, ni Operating system ya Linux inayobeba Android environment kiasi kwamba unaweza ku install Android Operating system katika PC.
Kama unataka ku install Android kwenye PC unaweza kutumia Remix OS.
Kwa zaidi soma Remix OS - The True Experience of Android OS on your Desktop.
Chukua hii Mobile Tracker FreeKumtrack mchepuko wangu app gani inafaaa?
Na Download wapi mkuu? Kwenye simu yangu au yakeChukua hii Mobile Tracker Free
Kwenye simu yakeNa Download wapi mkuu? Kwenye simu yangu au yake
Jaribu kutumia vidmate mkuu.App gan ni nzur kwa kudownload muvi za kihindi
inakua na ukubwa gani,je haitahitaji antivirus km windows za microsoft?Remix OS si app, ni Operating system ya Linux inayobeba Android environment kiasi kwamba unaweza ku install Android Operating system katika PC.
Kama unataka ku install Android kwenye PC unaweza kutumia Remix OS.
Kwa zaidi soma Remix OS - The True Experience of Android OS on your Desktop.
hiyo hata mimi huwa inatokea hasa kwenye simu za samsung mara nyingi ni baada ya kuiwasha na inachukua kama sec 10 hiviNaiona sana hii Apps!
Instant Apps ni nini hii?? Na inafanyaje kazi?
![]()
![]()
Live net tv,exodus tv,uktvnow .jaribu hizo mkuu!kustream game kwa mobdro imekuwa inshu kinyama ni app gani nyingine nzuri
sawa mkuu ngoja nijaribuJaribu app inaitwa inshot
Kwanza angalia hizo chaneli kama ni HD, kwa sababu sio chaneli zote za mpira kwenye modbro ni HD.Mkuu nijibu nina simu Samsung Galaxy J7 Prime na TV pia samsung smart shida sioni HD picha nikiconnect mobdro kwenye TV. Msaada pls. Au nimedownload wrong APK?