The Verteller
Senior Member
- Jun 13, 2016
- 182
- 269
Shukrani sana mkuu nimefanikiwa
Kudownload youtube? Unaamnisha video au?Msada jamani application nzuri ya kudownload youtube kwa kutumia pc naomba link
Kabisa kabisa is the bestKudownload video za youtube mi naona bado videoder inafanya vizuri na ktk ubora
Mwenye kujua app nyingine inayokaribia kufanana na mobdro naomba ashee maana mobdro kwangu haifunguki
Thankstafuta google live net tv , uk tv now izo zipo poa sana azi stack ovyo kama mobdro na zina option ya kuplay na external player
Live NetTV | Your Gateway to Entertainmenttafuta google live net tv , uk tv now izo zipo poa sana azi stack ovyo kama mobdro na zina option ya kuplay na external player
Dawnload kwenye official site ya mobdro....Mwenye kujua app nyingine inayokaribia kufanana na mobdro naomba ashee maana mobdro kwangu haifunguki
Hiyo App ya WhatsApp groups SI SHAURI MTU YEYOTE a DAWNLOAD utapoteza 14Mb zako tu.Hii hapa mobile app ya kuangalizia MATOKEO YA DARASA LA SABA (VII)
na pia unaweza kuangalia matokeo ya darasa la NNE kupitia mobile app hiyo hiyo!
Inapatikana playstore au unaweza kuipakua kwa kubofya HAPA, nyingine ni hii HAPA ya magroup ya whatsapp
Zaidi ya magroup 100+ yanapatikana ndani yake, ya ndani na nje ya nchi. Nzuri sana hizi apps mbili.
Hutokea haya pindi unapo click group ili u joinIpo updated tayari, umekutana na tatizo gani mkuu?!
Mkuu vipi? Nataka ni root tecno pop1 pro, app gani nzuriHutokea haya pindi unapo click group ili u joinView attachment 901012View attachment 901013
How To Root Tecno F3 (Tecno POP1), Tecno F2, Tecno F1 With App and PCMkuu vipi? Nataka ni root tecno pop1 pro, app gani nzuri
How to Root Tecno Spark Plus K9 and Install TWRP RecoveryNapenda niroot cm yangu ya tecno k9.ila Nashindwa. Msaaada wa kuweza kuroot. Natashukuru