Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

mimi ninaomba anayefahamu app nzuri ya kublock ads ambayo ni free
Nunua app support developers wanatumia muda mwingi kutengeneza hizo apps.
Sasa hivi unaweza kununua apps kwa tigo pesa na mpesa play store
 
Nunua app support developers wanatumia muda mwingi kutengeneza hizo apps.
Sasa hivi unaweza kununua apps kwa tigo pesa na mpesa play store
Naomba maelekezo jinsi ya kununua play store kwa tigo pesa
 
Naomba maelekezo jinsi ya kununua play store kwa tigo pesa
Ingia playstore chagua app inayouzwa, click kwenye bei kisha payment methods utaiona tigo pesa kama unatunia line ya tigo au mpesa kama unatumia mpesa ichague kisha endelea

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…