Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kwa wale wenye kusumbuliwa na adds kweny browser zao

Tumia adblock browser ipo play store. .hii no adds utazosumbuliwa nazo wala popups zozote ukiwa una browse
Mkuu nimefanikiwa kuroot simu yangu, lakini nashindwa kuichomoa play store, nifanyeje? Maana meinstall root checker nikaambiwa your device is successfully rooted. By still control ya hzo apps cna.
 
Mkuu nimefanikiwa kuroot simu yangu, lakini nashindwa kuichomoa play store, nifanyeje? Maana meinstall root checker nikaambiwa your device is successfully rooted. By still control ya hzo apps cna.
Ukiroot kuna app ya super su au king user itaongezeka kweny apps zako je ww umeiona moja wapo?
 
Umetumia nn kuroot?
Nmetumia kingroot v4. 8....., nikicheki kwenye root checker kuna sehemu pameandikwa "Booloader unknown"
Bt wakati naanza kuroot iliandika "Try root now" pale ambapo huwa panaandikwa "start root"
Vp nmekosea mkuu?
 
Unatumia simu gan
 
Mimi nimeroot samsung yangu kwa s4 kwa king root na inapiga mzigo vizuri tu.na wala sio mchina.tena nawashauri wenye s4 mroot ni kutumia king root ni rahisi sana.kabla nilikuwa na s4 nyingine nilijaribu kuroot na frama root wapiii ikagoma ikaja kukubali kwa cf ile through odin.so easy way to root samsung s4 without pc ni kutumia kingroot
 
Sasa wewe umetumia link gani maana mimi nimeroot kwa kutumja iyo kingroot lakn nikicheck, pale kwenye booloader inaandika unknown.
 
Haya mambo ya kuroot simu kwangu umefika kikomo kila nikiroot baada ya siku kadhaa inazingua mara mtandao unakatakata mara inajireboot yenyewe nimeua simu zangu mbili ksbb ya kuroot..
Nilichogundua sasa natumia emulator za android kwa PC already root 100%..Hainipi shida tena wala haizingui
 
Si kila simu unaweza ukaruti kwa application kuna zingine mpkaa ufanye mautundu ya Hali ya juu ambayo hayajawejwa kwenye hizo app za kuroot sim.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…