Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mkuu root checker inaonesha kuwa cm ipo rooted na mpaka nimeweza kui uninstall browser iliyo kuja na simu.
Mkuu polepole kwenye kufuta hizo App. Mm nikushauri tumia luckypatcher kuzi freeze kuliko kuzi uninstall.
 
Mobdro Nzur Sanaa Ninayo Muda.
3d82d17fb7e8b73a5e39ed4e32095aac.jpg
Halafu nimechukua leo ambayo ni updated sio mchezo naangalia disney chanels tu
 
Back
Top Bottom