Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Spotfy inagoma ku sign iup..... Nini shida?
 
Pia na control app zikiwemo na za system kwa kuzi freeze zisifanye kazi ilikupunguzia ram mzigo.
Naomba unielekeze jinsi ya kuzi-freeze App zisifanye kazi na ikiwezekana kuziondoa kabisa App za system.

Thanx in advance.
 
Kuziondoa sishauri.
Kama simu yako umeroot nenda google tafuta app inaitwa lucky patcher idwanload.
Kisha tafuta na app inatwa busybox ukishakuwa nazo hizo fungua lucky patcher angalia aap ambayo hutaki ifanye kazi kwenye simu ishikilie kwamuda itakuja menu shuka hadi chiniotaona option ya ku freeze app uliyo select. Kisha confim na itaacha kufanya kazi.
 
Ahsante.
Natumia simu ya halotel na internal memory yake inajaa faster siwezi ku-install App nyingi. Je, kuna App ya ku-increase internal memory au kufanya memory ya kawaida itumike kama internal memory?
 
Zipo App ambazo hata ukizi uninstall hazina madhara sana kwenye simu. Ila kuna zingine huwa ukizi futa simu itasumbua sana. Angalia namna ambayo utaweza root hiyo simu then hayo maswali yako yote yatajibika.
 
Zipo App ambazo hata ukizi uninstall hazina mazara sana kwenye simu. Ila kuna zingine huwa ukizi futa simu itasumbua sana. Angalia namna ambayo utaweza root hiyo simu then hayo maswali yako yote yatajibika.
Nilisha iroot tayar kwa kutumia king root.
 
ImageUploadedByJamiiForums1460473715.555448.jpg

Wakuu naona wenye appstore mmeamua kutuchinjia baharini
 
Back
Top Bottom