kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
Kana shida ganka samsung kangu kapo kopo tu ndani sina hamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kana shida ganka samsung kangu kapo kopo tu ndani sina hamu
Tumia app yao ya simu then una downloadHii mbona scribd hadi ulipie premium ndio unavisoma hii inakuaje aise au kuna namna nyngne yakutumia
Simu za MTK (mediatek) wengi wana root kwa Kingroot v 4.8.0 mkuu.Sawa natumia H6 embu nitumie application gani niweze kuroot vizuri mkuu maana supersue inakataa
Nitaipata wapiDramania ni kiboko
Naomba unielekeze jinsi ya kuzi-freeze App zisifanye kazi na ikiwezekana kuziondoa kabisa App za system.Pia na control app zikiwemo na za system kwa kuzi freeze zisifanye kazi ilikupunguzia ram mzigo.
Kuziondoa sishauri.Naomba unielekeze jinsi ya kuzi-freeze App zisifanye kazi na ikiwezekana kuziondoa kabisa App za system.
Thanx in advance.
Ahsante.Kuziondoa sishauri.
Kama simu yako umeroot nenda google tafuta app inaitwa lucky patcher idwanload.
Kisha tafuta na app inatwa busybox ukishakuwa nazo hizo fungua lucky patcher angalia aap ambayo hutaki ifanye kazi kwenye simu ishikilie kwamuda itakuja menu shuka hadi chiniotaona option ya ku freeze app uliyo select. Kisha confim na itaacha kufanya kazi.
Zipo App ambazo hata ukizi uninstall hazina madhara sana kwenye simu. Ila kuna zingine huwa ukizi futa simu itasumbua sana. Angalia namna ambayo utaweza root hiyo simu then hayo maswali yako yote yatajibika.Ahsante.
Natumia simu ya halotel na internal memory yake inajaa faster siwezi ku-install App nyingi. Je, kuna App ya ku-increase internal memory au kufanya memory ya kawaida itumike kama internal memory?
Nilisha iroot tayar kwa kutumia king root.Zipo App ambazo hata ukizi uninstall hazina mazara sana kwenye simu. Ila kuna zingine huwa ukizi futa simu itasumbua sana. Angalia namna ambayo utaweza root hiyo simu then hayo maswali yako yote yatajibika.
Ok basi angalia now app ambazo si za system kama vile fb nk uzi uninstall.Nilisha iroot tayar kwa kutumia king root.
Ok.Ok basi angalia now app ambazo si za system kama vile fb nk uzi uninstall.
Usijali ukipata tatizo uje kuuliza tupo wengi humu swali lako halitokosa jibu.Ok.
10x kwa ushauri wako.
Binafsi sijakuelewa una maanisha nini mkuu.View attachment 337063
Wakuu naona wenye appstore mmeamua kutuchinjia baharini
Uki-unstall kingroot bila kuweka mbadala wake kuna tatizo?Unataka Kui Unstal Kingroot Nikuelekeze??
Hakuna Ila Simu Inakua Unroot.Uki-unstall kingroot bila kuweka mbadala wake kuna tatizo?
unajailbreak sio kuroot...Hivi iphone unaweza kuroot......??? Teh teh teh
Hiyo iphone sio mchezo mkuu naona huu ni uwanja wa androidView attachment 337063
Wakuu naona wenye appstore mmeamua kutuchinjia baharini
Nje ya mada vipi mkuu maana shida yetu sisi hiyo tv kama unayo tupatieWakuu hapa naona mpo nje ya mada...
Mtazamo wangu tu lakini...