Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kama kuna mtu atakupigia namba ngeni itaonyesha jina kama amesajili,yangu inaonyesha mpaka location ya mpigaji alipo.......wengi wameumbuka na hawajawahi kunielewa wananihisi vitu vingi kumbe mi mtanganyika wa kawaida tu 😀😀😀Wakubwa hii app ya true call inasaidia nini kwenye simu?
Chief-Mkwawa
Aaaah hapo sawa mkuuKama kuna mtu atakupigia namba ngeni itaonyesha jina kama amesajili,yangu inaonyesha mpaka location ya mpigaji alipo.......wengi wameumbuka na hawajawahi kunielewa wananihisi vitu vingi kumbe mi mtanganyika wa kawaida tu 😀😀😀
Sawa mkuuKu identify unknown callers
Kwani bado inafanya kazi? Kwangu haifanyiHiyo application kama hutumii wi-fi connection achana nayo utanishukuru
ipo playstore na pia naomba kuona mwonekano wake maana zipo nyingiWakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...
Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============
mkuu hiyo dual browser nime upload lakin naomb nielekeze jinsi ya ku set ili display ionekan katik sehemu mbiliWakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...
Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============
Wakuu hii app naitaka ila ziko nyingi ipi inayoonyesha hadi location naombeni link yake au logo yake niipakue chap.Kama kuna mtu atakupigia namba ngeni itaonyesha jina kama amesajili,yangu inaonyesha mpaka location ya mpigaji alipo.......wengi wameumbuka na hawajawahi kunielewa wananihisi vitu vingi kumbe mi mtanganyika wa kawaida tu [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16]Dunia yaenda kasi sana leo tunazungumzia android version 10
Huu uzi ufanyiwe modificationWakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...
Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============
Jamani nisaidien app ya liangalia mpira online hd
Jamani nisaidien app ya liangalia mpira online hd
Mkuu Hapo kwenye kujua jina na location ulifanyaje maana mm yangu naona kama haina maajabuKama kuna mtu atakupigia namba ngeni itaonyesha jina kama amesajili,yangu inaonyesha mpaka location ya mpigaji alipo.......wengi wameumbuka na hawajawahi kunielewa wananihisi vitu vingi kumbe mi mtanganyika wa kawaida tu 😀😀😀
Inahusu Nini na Faida zake ni zipi ?Hii app ni moja ya app nzuri ambayo hakikisha unayo kwenye simu. Ipo playstore. Kama unataka maelekezo zaidi usisite kuuliza.