Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kama kuna mtu atakupigia namba ngeni itaonyesha jina kama amesajili,yangu inaonyesha mpaka location ya mpigaji alipo.......wengi wameumbuka na hawajawahi kunielewa wananihisi vitu vingi kumbe mi mtanganyika wa kawaida tu 😀😀😀Wakubwa hii app ya true call inasaidia nini kwenye simu?
Chief-Mkwawa