Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Natumia HTC one max msaada nataka kuroot...natanguliza shukrani
 
Wakuu nimeroot simu yangu..nahitaj kuexpand RAM..nimeshadownload RAM expander..naomba msaada jins ya kuitumia maana inanisumbua..
 
Wakuu nimeroot simu yangu..nahitaj kuexpand RAM..nimeshadownload RAM expander..naomba msaada jins ya kuitumia maana inanisumbua..
Sidhani kama utapata faida yoyote kwa kutumia memory card. Memory card ziko slow sana kwenye writing na reading speed ukilinganisha na RAM. RAM imekuwa design for that ndio maana zinaweza kuwa written many times bila kufa, ila kama utatumia SD card itakufa mapema. The only solution ni kununua simu yenye RAM kubwa. Ingekuwa rahisi hivyo hao manufacturers wasingehangaika na kuimprove RAM size na speed.
 
Ni app gani yenye uwezo wa kutafsiri sentensi nzima ya kiingereza kwa kiswahili? Yenye uwezo wa kutafsiri maana halisi na sio neno moja moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…