Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wakuu nimeroot simu yangu..nahitaj kuexpand RAM..nimeshadownload RAM expander..naomba msaada jins ya kuitumia maana inanisumbua..
 
Wakuu nimeroot simu yangu..nahitaj kuexpand RAM..nimeshadownload RAM expander..naomba msaada jins ya kuitumia maana inanisumbua..
Sidhani kama utapata faida yoyote kwa kutumia memory card. Memory card ziko slow sana kwenye writing na reading speed ukilinganisha na RAM. RAM imekuwa design for that ndio maana zinaweza kuwa written many times bila kufa, ila kama utatumia SD card itakufa mapema. The only solution ni kununua simu yenye RAM kubwa. Ingekuwa rahisi hivyo hao manufacturers wasingehangaika na kuimprove RAM size na speed.
 
Back
Top Bottom