Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

kuna app iko play store inaitwa moble phone track hii unaweza kusoma SMS kwenye simu ya mtu na kupata location zake na kila anapo wasiliana na mtu itakupa taarifa na kuona hyo namba cha kufanya download hyo app kwenye simu ya muhusika pili utaingiza email yako tatu itakuletea nickname utaandika jina lolote utakuwa ushamaliza mambo
 
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...

Mi naanza na mobdro app noma sana
Senator jr, nimeweza kudownload mobdro lakini inagoma ku install. Ninatumia simu Halotel H8501. Msaada mkuu
 
Ni Android 4.4.2
Mkuu mbna inasaport tu vizuri.. Ckia fanya hivi Make sure una UNISTAL hiyo program kwenye androidvyako kisha Allow simu yako kusoma 3g na kuendelea ckia hapa lazma kama cmu network haiko 3g itakusumbua sana .. Turudi INSTAL program yako upya .. Enjoy
 
Ok. Nitakupa mrejesho
 
Ok. Nitakupa mrejesho
30dc6e461955d72c867f63db6c509033.jpg
 
Mwenye apps ya kuangalia WWE a.k.a mieleka naomba munisaidie naitafuta sana .
 
Habari za muda huu wakuu!
Mimi ookla speed test yangu inaonesha kama inavoonekana kwenye picha apo.
Naomba wajuzi mnisaidie kutafasiri hayo majibu kitalaam.
Ahsanten!
29fcbec54db53f258e6017f49fa9b86b.jpg
 
Habari za muda huu wakuu!
Mimi ookla speed test yangu inaonesha kama inavoonekana kwenye picha apo.
Naomba wajuzi mnisaidie kutafasiri hayo majibu kitalaam.
Ahsanten!
29fcbec54db53f258e6017f49fa9b86b.jpg
Na hivi .
0c0dfd35bc9cd453b968f9230331839c.jpg
 
Back
Top Bottom