Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Na hivi .
0c0dfd35bc9cd453b968f9230331839c.jpg
unatumia mtandao gan mbona upo chini hvyo??
 
Habari za muda huu wakuu!
Mimi ookla speed test yangu inaonesha kama inavoonekana kwenye picha apo.
Naomba wajuzi mnisaidie kutafasiri hayo majibu kitalaam.
Ahsanten!
29fcbec54db53f258e6017f49fa9b86b.jpg
ping nzuri ila download speed na uploading speed majanga
 
halotel mbona imeshuka hvyo kwa speed nzur narecomend halotel na voda tu ila siunaridhika na speed yako??
Naridhika bt kuna muda inakuwa slow sana mkuu, so kama kuna namna ya kufanya ili kuiboost nisaidie maelekezo mkuu.
Mdamwingine inanisumbua sana wakati nacheki game.
 
Naridhika bt kuna muda inakuwa slow sana mkuu, so kama kuna namna ya kufanya ili kuiboost nisaidie maelekezo mkuu.
Mdamwingine inanisumbua sana wakati nacheki game.
hyo ni simu ya tecno ngap
 
kama upo sehem yenye tigo 4G LTE na simu ya 4G hamia uko speed ni nzur san
Nipo pugu kaka, asa cjui kama na huku 4g ya tigo inashika, bt natumia tecno c5 ambayo nadhani inasupport 4g.
 
Wakuu nwenye kujua app nzuri ya kublock "kuzuia" namba lengwa isiingie "kuita" kwenye simu yangu na sms yake km ipo, haswa simu naomba nijuzwe
AVG antvirus inablock simu na sms haiingii kabisa. Nenda kwny privacy ukishadownload. Pia ukitumia Black Mart kuipakua utapata full
 
Ni c5 mkuu!
inasapoti 4G ipo vzur sana nenda ofisi zao kuswap lain ni bure embu kwanza ingia website ya tigo 4G afu nenda kwenye coverage utaona raman ya 4G
 
Attachments

  • image.png
    image.png
    116.5 KB · Views: 127
inasapoti 4G ipo vzur sana nenda ofisi zao kuswap lain ni bure embu kwanza ingia website ya tigo 4G afu nenda kwenye coverage utaona raman ya 4G
Ok! Nashukuru mkuu! Itabdi nifike ofisini kwao.
 
Wakuu tafadhali naomba maelekezo toka kwenu nahitaji kuweka avast antitheft ktk tecno y6 yangu naomba maelekezo ya kuirekebisha nikishainstall
 
Back
Top Bottom