Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Naomba munisaidie nime-download mobdro kwenye tablet je nikiondoa tick kwenye UNKNOWN SOURCE hii apps itaendelea kufanya kazi?.
 
Naomba munisaidie nime-download mobdro kwenye tablet je nikiondoa tick kwenye UNKNOWN SOURCE hii apps itaendelea kufanya kazi?.
Hapo unatakiwa utoe hiyo tik ili kuwezesha hiyo app kuingia kwenye tablet yako sababu umeidawnload kutoka store ambayo sio rasmi.
Bila kutoa hiyo tik huwezi install hiyo mobdro
 
Wakuu tafadhali naomba maelekezo toka kwenu nahitaji kuweka avast antitheft ktk tecno y6 yangu naomba maelekezo ya kuirekebisha nikishainstall
Avast anti theft zipo mbili kuna ant theft ambayo "Sio for rooted device na ant theft for rooted device
Hiyo ya kwanza hufanya kazi kwenye simu yoyote ila simu ikipotea na atakae ipata akafanya factor reset na hiyo app inafutika.
Hiyo yapili ambayo ni kwa rooted device ina root proof, yani kama simu yako ume root na ukaiset vizuri hiyo app hata ukifanya factor reset hiyo app haifutiki.
Ila kama simu ume root kwa kingroot haiwezi kufanya kazi kabisa sababu inataka super user na kingroot haina super user.
 
naomba jinsi ya kuipata ya rooted phone
 
Weweee tokaaa uanzeee kutumiaa cm ushawahii nunuaa apps ngap???
Kwan nn kinakuuma mr.???
Jamaa kaletaa njia boraaa ya kupata apps sasa unamkosoaa!!!
Mbona hupend maendeleo???
 
Kwaio km natumia C8 NITUMIE IP
 
1. Download Luckypatcher
2: Download app kwenye playstore eg MX player
3. Fungua lucky patcher, tafuta MX player
4. Click open menu of Patches
5. Patck
6. Fungua MX player utakuwa umepata premium version
Naomba link ya luckypatcher
 
Nitoe link ya luckypatcher
 
Nataka kuroot samsung s 5 yenye lollipop. Nitumie root ipi ambayo itanifaa?
 
Weweee tokaaa uanzeee kutumiaa cm ushawahii nunuaa apps ngap???
Kwan nn kinakuuma mr.???
Jamaa kaletaa njia boraaa ya kupata apps sasa unamkosoaa!!!
Mbona hupend maendeleo???
Ukweli unaujua. Haki na batili vipo dhahiri kwa kila mmoja wetu. Nimesema kweli, ni juu yako kufuata au kutofuata.
 
Nataka kuroot Samsung J1 ace nitumie root ipi?
Je simu inaweza pata madhara gani?
 
Ukweli unaujua. Haki na batili vipo dhahiri kwa kila mmoja wetu. Nimesema kweli, ni juu yako kufuata au kutofuata.
Utandawazi kwasasa ni kama bahari, na bahari haichungwi, wewe ukulinda coco beach watu wasioge...wenzio mtwara na kwingineko watapiga mbizi tu.
So acha sisi wapenda kitonga tuteleze
Hapo ulipo tu wewe simu imejaa free app kibao.
Na ukitaka kila mtu anunue app jiulize swali hizo visa na master card watanzania wangapi wanazo.
Achane ku complicate mambo.
 
Kwa hyo mkuu hii kingroot haiwez saidia kuweka avast anti thief kwa siyo iliyo rooted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…