Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kwa hyo mkuu hii kingroot haiwez saidia kuweka avast anti thief kwa siyo iliyo rooted
Hiyo app haina super user.
Hivyo app itakayo fanya kazi humo ni anti theft ambayo sio ya rooted ila simu iki fomatiwa nayenyewe itafutika.
 
Hiyo app haina super user.
Hivyo app itakayo fanya kazi humo ni anti theft ambayo sio ya rooted ila simu iki fomatiwa nayenyewe itafutika.
AIse so rooting gani sasa ndio bora mimi natumia Xperia z1 compact
 
Jamani niliunstall mobdro maana ilikuwa inastack Sana. Nataka ni download tena inagoma
 
Nilikuwa nataka hiyo ya ma-hustler hiyo playboy sijui km ipo ila kuna moja inaitwa sijui Girl kitu gani gani ...m[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Sasa hiyo girl kitu gani gani ndio inakufaa sana bingwaa
 
Jamani niliunstall mobdro maana ilikuwa inastack Sana. Nataka ni download tena inagoma
Jaribu kudownload kuna link iko page ya kwanza hapa.
Ukishamaliza kuinstall itakutaka u update,inaweza kukubali.
Mimi kwangu ilikubali.
 
Situmii telegram.Hamna namna nyingine
 
Ikidownload nikifungua inaniambia can't open file. Nimeckokaje?[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Unayo Opera Min? Ingia Opera Search Mobdro Apk. Link Ya Kwanz Kutokea Ingia Hapo Kisha Utaona Hivi Alafu Ukishadownload Open Kuinstal Ila Uweke Ile Security Kuruhus SIMU Kuinstal Apk
 
Unayo Opera Min? Ingia Opera Search Mobdro Apk. Link Ya Kwanz Kutokea Ingia Hapo Kisha Utaona Hivi Alafu Ukishadownload Open Kuinstal Ila Uweke Ile Security Kuruhus SIMU Kuinstal Apk
Asante nilishafanikiwa na maelezo ya Youngblood hapo juu.
Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…