Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,083
Kwenye simu yako weka launcher ya L launcher ina kipengele cha ku hide App
Na kwangu naomba hiyo whatsapp 0625548187No baadhi sizioni whatsap hebu mnicheki hapa +255716026585
mkuu tueleze bas znatumikaje hiz appBusy box, lucky patcher na build prop editor..... Vitu adimu hivi
intagrid ipo playstoreNani anafaham app yaku cut picture in to pices n ukiongalisha inakuwa nzimaa.. msaada.
Sawa mkuu, ngoja nishushemkuu tueleze bas znatumikaje hiz app
Lucky patcher kwangu inazingua kinomaSawa mkuu, ngoja nishushe
Hiyo app mimi siifahamu kunamtu aliileta humu akiisifia sana, beta utumie tu mobdro.Masaada kaka
Mkuu hiyo lucky patcher hakikisha una app inaitwa busy box pia, na ungesema inazinguaje labda.anayejua jinsi ya kupata app kununua playstore kwa kutumua lucky patcher . smu yangu iko rooted tayar
Asante nimedownload mobi kola yani ni raha tupu.!Hiyo app mimi siifahamu kunamtu aliileta humu akiisifia sana, beta utumie tu mobdro.
Kama shida yako ni mpira tafuta google app inaitwa MobKora
In tofauti gani na mobdro?Asante nimedownload mobi kola yani ni raha tupu.!
Aisee wanaboa,wavivu kusoma aiseeMuwe mnasoma ata thread za mwanzoni mwanzoni basi, link ilishatolewa ya kudownload. Playstore haipo uko.
Swali la kwanza huyo rafiki yako, upo nae mbali au mnaweza kuwa pamoja?Wakuu, hivi kuna app ambayo naweza nikastream video from one phone to another? Let's say Mimi nina muvi kwenye simu yangu, then kuna rafiki yangu pia anataka kuichek muvi hiyo bila kumrushia kwenye simu yake. Is it possible wakuu?
Tumaweza kua pamoja, tuseme few clicks from me eg. 3 mikes from meSwali la kwanza huyo rafiki yako, upo nae mbali au mnaweza kuwa pamoja?
Videoder inapatikanaje? Mwenye link yake atusaidie kutupia maana nasikia watu wanaisifia sana kwa kupakulia video za aina zote.
Hizi kwangu ndio kila kitu"
Insta Snapchat Twitter Na Tapatalk (Jf) hizo kama social media.
Whatsapp Hangout for sms conver
Zedge Kupata Wallpaper kali HD na ringtons.
Befunky kuedit pic na Photogrid kuresize photo kwa ajil ya Whatsapp dp and Instagram.
Poweramp kwa ajili ya music inanguvu sana.
MusixMatch for lyrics ukiplay music inadowload lyrics automatic
Videoder kudownload Videos mpaka mp3 direct from Youtube.
Opera as browser
Mobdro bonge la app
Mobdro Nzur Sanaa Ninayo Muda.