Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Toa maelezo basi ni ya nini hyo app inatumukaje?
Ni app inayohusika na Maswala ya Filamu za Kitanzania, Sasa hivi huna haja ya kwenda mpaka kariakoo kununua Filamu ambayo utauziwa Shilingi Elfu 3, Huku ukilipa nauli zaidi ya Mia tano bado hujapata usumbufu wa hapa na pale mara filamu hio uambiwe imeisha sokoni. Unachotakiwa kufanya ni Kudownload app ya Proinbox kupitia Google play then jisajili na baada ya hapo anza kuchagua filamu unayopenda kwa gaharama ya Shilingi elf 2 tu na uweze kuokoa muda, ni rahisi na salama.
 
Hebu ngoja nicheki
 
Nina simu yangu ya aina ya TECNO nikijaribu ku root inakataaa, je ni kingroot gani au ni apps gani inaroot vision 6.0 marshmallow
 
Ukitaka ufulahie uzuri wa mobdro uwe na network kuanzia 3g na kuendelea ila ubaya mwingine ina hustler tv kwa kuonyesha ngono tup kwa ambao wenzangu na mm weka mbali na watoto.
Pia haina tv chaneli za ndani.
hivi baada ya kudown load hiyo application kwenye unafanyaje ? ili kuweza kuona
 
PPSSPP, ur android PSP emulator. Hii itakuwezesha kuplay psp ISOs kwenye android device yako. Mimi currently nacheza Tom Clancy's rainbow six: Vegas
 
Natafuta android apk itakayoniwezesha kutuma bulk SMS kwa kutumia contscts zilizopo kwenye excel au text file.
 
Natafuta android apk itakayoniwezesha kutuma bulk SMS kwa kutumia contscts zilizopo kwenye excel file
 
Jamani mimi nataka kudown load mobdro lakini nashindwa. Hii apps kama alivyosema senetor jr haipatikani play store. Natumia sumsung galax s3. Nikitumia ile link aliyoweka pale kwenye post yake #1 inadownlord ila baadae inaniambia istall block na sababu ni kuwa hii pc yangu haisupport apps ambayo haipo play store.
 
Back
Top Bottom