Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

mi natafuta apps ya kuzuia ADS kwny simu yaan yanakera balaa
ili kuzuia hili ilinibidi niiroot simu then nidowload avast then niiruhusu firewall ya avast ifanye kazi kwa simu yangu kisha nikablock apps zote ambazo kwa kiasi kiukubwa zinatoa ads kwa simu yangu mambo yakawa shwari maana ilikuwa kero hufanyi kitu tangazo
 
u torrent kwa simu kwangu ina chapa kazi mpaka basi baadae nahamisha muvi kwa pc naona kama mauza uza mengi popups kibao n.k
Google apk inaitwa show box. Hiyo ni noma kwa movie
 
Ukitaka ufulahie uzuri wa mobdro uwe na network kuanzia 3g na kuendelea ila ubaya mwingine ina hustler tv kwa kuonyesha ngono tup kwa ambao wenzangu na mm weka mbali na watoto.
Pia haina tv chaneli za ndani.
mmmmh... watu mnaona.... [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Habari kwa wote
Naomba programe ya kusafisha simu maana niki update simu inasema "no enough space " wakati nafas ipo kubwa!!
 
Habari kwa wote
Naomba programe ya kusafisha simu maana niki update simu inasema "no enough space " wakati nafas ipo kubwa!!
Angalia ipi umechagua simu iwe inasave vitu, je ni memory card au internal storage?? Isijekuwa unaona kwa mfano memory card ina space wakati default storage ni internal storage hapo lazima hyo no enough space meseji itakuwa inakuja tu
 
Back
Top Bottom