Fundi chupi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 342
- 246
Hii simu ilizimwa na TCRA nikaiweka kwenye sandukuHapo kwenye Gunship Battle ndio kwenyewe , ile leval ya ngapi sijui ile ya kuvamia coast kwenye kule barafu ngumu kinoma kuna mziki wa kufa mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii simu ilizimwa na TCRA nikaiweka kwenye sandukuHapo kwenye Gunship Battle ndio kwenyewe , ile leval ya ngapi sijui ile ya kuvamia coast kwenye kule barafu ngumu kinoma kuna mziki wa kufa mtu.
Asante Mkuu. App nzuri sanaE bwana kuna apps mpya imeingia wiki iliyopita inaitwa mobikim.com ni apps ya tv nomaaaaa. Huyu jamaa ni mmoroco yupo ufaransa
Hustler imerudi. pamoja na PlayboyNilikuwa nataka hiyo ya ma-hustler hiyo playboy sijui km ipo ila kuna moja inaitwa sijui Girl kitu gani gani ...m[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
ili kuzuia hili ilinibidi niiroot simu then nidowload avast then niiruhusu firewall ya avast ifanye kazi kwa simu yangu kisha nikablock apps zote ambazo kwa kiasi kiukubwa zinatoa ads kwa simu yangu mambo yakawa shwari maana ilikuwa kero hufanyi kitu tangazomi natafuta apps ya kuzuia ADS kwny simu yaan yanakera balaa
Google apk inaitwa show box. Hiyo ni noma kwa movieu torrent kwa simu kwangu ina chapa kazi mpaka basi baadae nahamisha muvi kwa pc naona kama mauza uza mengi popups kibao n.k
mmmmh... watu mnaona.... [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ukitaka ufulahie uzuri wa mobdro uwe na network kuanzia 3g na kuendelea ila ubaya mwingine ina hustler tv kwa kuonyesha ngono tup kwa ambao wenzangu na mm weka mbali na watoto.
Pia haina tv chaneli za ndani.
videoder c nzuri km vidmate au snaptubeVideorder inafanya kazi gani mkuu.
ipoMkuu mbona kwenye list ya channels haipo hiyo hustler TV ; hahaaaaa....
Wala supersport haipo
Ukitumia appl ya Mobdro Mb 500 tu tena zinabakiplease kwa anayejua mpira wa dakika 90 ni MB ngapi zinatakiwa kwa mtandao wa halotel?
Clean masterHabari kwa wote
Naomba programe ya kusafisha simu maana niki update simu inasema "no enough space " wakati nafas ipo kubwa!!
Angalia ipi umechagua simu iwe inasave vitu, je ni memory card au internal storage?? Isijekuwa unaona kwa mfano memory card ina space wakati default storage ni internal storage hapo lazima hyo no enough space meseji itakuwa inakuja tuHabari kwa wote
Naomba programe ya kusafisha simu maana niki update simu inasema "no enough space " wakati nafas ipo kubwa!!