Kuna tofauti ya ku ROOT simu na KU REBOOT simu.Naomba msaada plz nini maana ya ku reboot sim na kui reboot sim ina inasaidia nini naomba mnijuze make kuna app nimetaka kuiweka sim inataka ni ireboot app yenyewe nimeipata humu ni iFONT
Ufumbuzi ukipatikana utajibiwa.MBONA jamani HAMNIPI MSAADA [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Okey Fanyeni makeke basi nipate msaadaUfumbuzi ukipatikana utajibiwa.
App zenye in purchase zipo za aina nyingi kuna zingine ningumu ku cheat.
Ila usiwe dependent sana humu, jenga urafiki na GOOGLE utajua mambo mengi sana.Okey Fanyeni makeke basi nipate msaada
Google itanisaidia kupata hiyo hacked appIla usiwe dependent sana humu, jenga urafiki na GOOGLE utajua mambo mengi sana.
Yazamani huwezi rudisha labda utafute inayofanana na hiyo ya zamani.Nilitumia ifont kubadili font style kwenye sim naitaji kurudisha font ya zamani sasa nashindwa kuludisha ile ya zamani nifanyeje sasa wakuu anaejua naomba anijuze jinsi ya kuludisha
Ni k restore sim haiwezYazamani huwezi rudisha labda utafute inayofanana na hiyo ya zamani.
Huwezi irudisha, labda uka flash. Tumia hiyo Ifont tafuta font inayofanana na ile zipo tu nyingi.Ni k restore sim haiwez
Ukiitoa hiyo ap ya font utapata font ya zamaniHuwezi irudisha, labda uka flash. Tumia hiyo Ifont tafuta font inayofanana na ile zipo tu nyingi.
Na kama font itakuwa na resolution kubwa tumia app ya font editor kupunguza ukubwa wa maandishi. Coz naamini hiyo simu ume root.
Naomba unitumie codes zote unazozijua mkuu
Mzigo gani mkuuMm mbona nashindwa kuushusha huu mzigo jaman
Sio kweli ukitoa font, au ku restore simu font itakayo baki ni ile uliyokuwa unatumia mara ya mwisho.Ukiitoa hiyo ap ya font utapata font ya zamani
Na Jamaa Amekwambia Kitu Ambacho Kipo Kweli!!Hatubishani, ila ninachosema nakijua, natumia Tecno L8 na nimekuwa nabadilisha font, nikiichoka naitoa inabaki ya asili, kumbuka "unapo restore simu unairudisha kwenye mpangilio wa kiwandani"
Uninstall ifontNilitumia ifont kubadili font style kwenye sim naitaji kurudisha font ya zamani sasa nashindwa kuludisha ile ya zamani nifanyeje sasa wakuu anaejua naomba anijuze jinsi ya kuludisha