Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Naomba msaada plz nini maana ya ku reboot sim na kui reboot sim ina inasaidia nini naomba mnijuze make kuna app nimetaka kuiweka sim inataka ni ireboot app yenyewe nimeipata humu ni iFONT
Kuna tofauti ya ku ROOT simu na KU REBOOT simu.
 
Nilitumia ifont kubadili font style kwenye sim naitaji kurudisha font ya zamani sasa nashindwa kuludisha ile ya zamani nifanyeje sasa wakuu anaejua naomba anijuze jinsi ya kuludisha
 
Ni k restore sim haiwez
Huwezi irudisha, labda uka flash. Tumia hiyo Ifont tafuta font inayofanana na ile zipo tu nyingi.
Na kama font itakuwa na resolution kubwa tumia app ya font editor kupunguza ukubwa wa maandishi. Coz naamini hiyo simu ume root.
 
Ukiitoa hiyo ap ya font utapata font ya zamani
 
Back
Top Bottom