Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kama unatumia simu unaweza kuingia Google na kudownload Mobdro kama pc zipo website kama cricfree, crichd, mamahd ila Supersport hutaweza kuiona
 
Wakuu nimedownload gb whatsapp lakin inanambia time and date hazipo sawa ila kila Niki set haikubali, nafanyaje hapa aisee
 
MOBDRO ni app ya kuangalia TV.. (iptv)
Kwa Kutumia simu yako..
Ni app ambayo haipo Playstore..

Faida..
Ni kwamba unaweza kuangalia lots of Channel's zaidi ya channels 100.

Hasara..
Inakula sanaa mb kama YouTube.

Kazi kwako.
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
MOBDRO huwa inanipa mashaka pale inapoomba access ya accounts zako zote kwenye simu na pia uwezo wa ku erase SD card were need be...iko kama app ya ku spy zaidi...na kwakuwa ni bure basi watu wengi wana download tu ..lakini haina privacy kabisa
 
Msinisahau na mimi ndugu yenu tafadhari kwa namba hii 0786214280
 
Back
Top Bottom