Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Useful tips bro asante sana. Lakini muhusika amedai simu iwe na chaji angalau 50% je ni lazima au inakuaje simu yangu now ina 20% je inafaa ?
 
Tubidy, sema ndio hawanga App hawa jamaa, lakin manyimbo yote yapo
 
Imesoma simu yangu vizuri tu.na ikaanza process and then baada ya 60% ikakataa inahitaji computer
Mimi J8 nilisha i root mara kadhaa kwa kingroot, ila nililetewa moja daah hadi leo hiyo simu haikubali kuwa rooted, na hasa zenye build namba ambayo namba za mwishoni zina v. Mfano 2016078V34
 
Duh unapatikana wap ili nikuletee hii uijaribu na ww ?
 
9abe6ab86b89fb075c1c611b48376242.jpg

Nine click hapo kwenye kudownload kingroot imekuja hvo
 
Mimi J8 nilisha i root mara kadhaa kwa kingroot, ila nililetewa moja daah hadi leo hiyo simu haikubali kuwa rooted, na hasa zenye build namba ambayo namba za mwishoni zina v. Mfano 2016078V34
Ilikua Na Recovery Mode??
 
Back
Top Bottom