Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kama unatumia simu unaweza kuingia Google na kudownload Mobdro kama pc zipo website kama cricfree, crichd, mamahd ila Supersport hutaweza kuiona
 
Wakuu nimedownload gb whatsapp lakin inanambia time and date hazipo sawa ila kila Niki set haikubali, nafanyaje hapa aisee
 
MOBDRO huwa inanipa mashaka pale inapoomba access ya accounts zako zote kwenye simu na pia uwezo wa ku erase SD card were need be...iko kama app ya ku spy zaidi...na kwakuwa ni bure basi watu wengi wana download tu ..lakini haina privacy kabisa
 
Msinisahau na mimi ndugu yenu tafadhari kwa namba hii 0786214280
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…