Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kuna apps nyingine kwenye playstore hazipo??
Ntazipata google,mfano blackmart haipo googlestore
 
Kuna apps nyingine kwenye playstore hazipo??
Ntazipata google,mfano blackmart haipo googlestore
Itafute google baada ya jina weka apk yaani "blackmart apk" then download, maelezo mengine mazuri yapo kuanzia mwanzo wa huu uzi
 
Vp na juu ya kuchunguza private information
 
View attachment 424368 Vp na juu ya kuchunguza private information
Hyo nu taharifa tuu ya moja ya mambo apps hii na nyingine hufanya, kwakuwa unaweza kupata taharifa za SMS, call na kuna Ku sign in pia ndio maana ya hizo information. So usiwe na was I maana watu wakizitaka info zako wanaweza kuzipata tuu by any means
 
Namanisha juu ya kuchukua information zangu kama password kusoma sms majina nk! Make nimeona warning
 
Ok niliitaji kuelewa tuu joh mbona kama umechukulia poa
No sijachukulia poa but, use unajiongeza japo kidogo sio kila kitu utafuniwe mpaka kulishwa...
Unapo taka Ku install apps from google play, baada ya kubofya install huwa yanakuja maelezo yanayohitaji u accept ndio uendelee otherwise hauta install..
Huwa unajua huwa una accept mini?
Kama unajua kwanini umeniuliza Mimi juu ya app hyo kudeal na info zako?
Kama haujui, jifunzi kupenda kusoma kabla yakuendelea na unachotaka kukifanya...
Humu tunabadilishana maujuzi ya apps tunazotumia, sasa kama were unahitaji utaalam wa zaidi ya app inavyofanya kazi soma sana HV vitu uelewe.
Sina muda wakumfundisha MTU vile anavyoweza kujifunza, hvyo yani.. Siku nyingine ukiambiwa apps hii inafanya hiki na hiki ijaribu, ukikutana na mengineyo uliza google.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…