Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

KWA MASUALA YA DOCUMENTATION, NATUMIA WPS NA CAMSCANNER,

SPORTS, LIVESCORE, NA GOAL

MUSIC NINA POWERAMP NA JET AUDIO

VIDEO NINA MIXPLAYER NA AK PLAYER

VIDEO DOWNLOADING NATUMIA VIDEODER NA STREAMING NATUMIA MOBDRO

KUTUMIA APPS ZA KULIPIA BURE NATUMIA LUCKY PATCHER NA FREEDOM

KWA APPEARANCE NA MADOIDO MENGINE NATUMIA ARROW LAUNCHER,
AP 15 LAUNCHER (MY BEST LAUNCHER)

APPS STORE ZANGU NI BLACKMART, APTODE, UP2DOWN HUMO APPS ZOTE ZINAZOPATIKANA PLAYSTORE NAZIPATA BURE KABISA.

KU BROWSE NATUMIA UCBROWSER ONLY, SIJAKUTANA NA KAMA HYO KWA UPANDE WANGU.

NABROWSE DEEP WEB KWA MCHANGANYIKO WA ORWALL, ORBORT, ORFOX.

NIMEROOTBDEVICE YANGU SO NATUMIA KARIBIABTOOLS ZOTE MUHIM KWABROOTED DEVICE KAMA VILE, EXPOSSED INSTALLER, ROM TOOLBOX, ROM MANAGER, SYSTEMBREMOVER APPS NK.

KARIBUNI TUBADILISHANEBMAUELEWA.

KWABUSIKU HUWA NATUMIA NIGHT SCREEN,
Kuna apps nyingine kwenye playstore hazipo??
Ntazipata google,mfano blackmart haipo googlestore
 
Kuna apps nyingine kwenye playstore hazipo??
Ntazipata google,mfano blackmart haipo googlestore
Itafute google baada ya jina weka apk yaani "blackmart apk" then download, maelezo mengine mazuri yapo kuanzia mwanzo wa huu uzi
 
Huwa ninakawaida ya kujaribu apps mbalimbali, labda niseme kwanini TSF nimeshaijaribu na nimeiona ilivyo, ni nzuri na inaoption nyingi tuu za kuiongezea uzuri zaidi kama themes nk. Ok kwa hzo luncher nipendazo kuzitumia, ni kwa sababu...
ARROW.. Hii inanirahisishia a lot of thing in one place. Kwanza bila kutumia caller or phone apps kwa launcher hii naweza kupata call records zangu, si hvyo tuu bila kuwa na apps yoyote ya office document, naweza soma pdf na word kupitia online 365 office inayopatikana humu humu, naweza pitia vitu nilivyotoka kuvifanya yaani lisent iwe niliangalia movie picha niliwasiliana nk vyote vinapatikana hapahapa, wallpaper unaweza kutumia za online zinazojibadirisha kila muda inapotoka na huwa hazijirudii... Yote kwa yote hata nafasi yake ni ndogo ktk device, na ni ya bure, inacombination za screen lock ya Next lock. Hii ni didhaa ya microsoft.
Ukija kwa ap15 kwanza haifikishi hata mb 1, anabadirisha apps zote kuwa kwa maneno bila picha na unaweza kucustomize text format coller hata kubadirisha jina la apps liwe unavyotaka wewe. Ni nyepesi na haitumii chaji sana.

Jaribu kuzijaribu utatoa ushuhuda.
1477458278303.png
Vp na juu ya kuchunguza private information
 
View attachment 424368 Vp na juu ya kuchunguza private information
Hyo nu taharifa tuu ya moja ya mambo apps hii na nyingine hufanya, kwakuwa unaweza kupata taharifa za SMS, call na kuna Ku sign in pia ndio maana ya hizo information. So usiwe na was I maana watu wakizitaka info zako wanaweza kuzipata tuu by any means
 
Hyo nu taharifa tuu ya moja ya mambo apps hii na nyingine hufanya, kwakuwa unaweza kupata taharifa za SMS, call na kuna Ku sign in pia ndio maana ya hizo information. So usiwe na was I maana watu wakizitaka info zako wanaweza kuzipata tuu by any means
Namanisha juu ya kuchukua information zangu kama password kusoma sms majina nk! Make nimeona warning
1477459209775.png
 
Ok niliitaji kuelewa tuu joh mbona kama umechukulia poa
No sijachukulia poa but, use unajiongeza japo kidogo sio kila kitu utafuniwe mpaka kulishwa...
Unapo taka Ku install apps from google play, baada ya kubofya install huwa yanakuja maelezo yanayohitaji u accept ndio uendelee otherwise hauta install..
Huwa unajua huwa una accept mini?
Kama unajua kwanini umeniuliza Mimi juu ya app hyo kudeal na info zako?
Kama haujui, jifunzi kupenda kusoma kabla yakuendelea na unachotaka kukifanya...
Humu tunabadilishana maujuzi ya apps tunazotumia, sasa kama were unahitaji utaalam wa zaidi ya app inavyofanya kazi soma sana HV vitu uelewe.
Sina muda wakumfundisha MTU vile anavyoweza kujifunza, hvyo yani.. Siku nyingine ukiambiwa apps hii inafanya hiki na hiki ijaribu, ukikutana na mengineyo uliza google.
 
Back
Top Bottom