Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna apps nyingine kwenye playstore hazipo??KWA MASUALA YA DOCUMENTATION, NATUMIA WPS NA CAMSCANNER,
SPORTS, LIVESCORE, NA GOAL
MUSIC NINA POWERAMP NA JET AUDIO
VIDEO NINA MIXPLAYER NA AK PLAYER
VIDEO DOWNLOADING NATUMIA VIDEODER NA STREAMING NATUMIA MOBDRO
KUTUMIA APPS ZA KULIPIA BURE NATUMIA LUCKY PATCHER NA FREEDOM
KWA APPEARANCE NA MADOIDO MENGINE NATUMIA ARROW LAUNCHER,
AP 15 LAUNCHER (MY BEST LAUNCHER)
APPS STORE ZANGU NI BLACKMART, APTODE, UP2DOWN HUMO APPS ZOTE ZINAZOPATIKANA PLAYSTORE NAZIPATA BURE KABISA.
KU BROWSE NATUMIA UCBROWSER ONLY, SIJAKUTANA NA KAMA HYO KWA UPANDE WANGU.
NABROWSE DEEP WEB KWA MCHANGANYIKO WA ORWALL, ORBORT, ORFOX.
NIMEROOTBDEVICE YANGU SO NATUMIA KARIBIABTOOLS ZOTE MUHIM KWABROOTED DEVICE KAMA VILE, EXPOSSED INSTALLER, ROM TOOLBOX, ROM MANAGER, SYSTEMBREMOVER APPS NK.
KARIBUNI TUBADILISHANEBMAUELEWA.
KWABUSIKU HUWA NATUMIA NIGHT SCREEN,
Ulipata jibu?
VaultNatafuta application ya kuficha baadhi ya picha za kwenye cmu yangu
Itafute google baada ya jina weka apk yaani "blackmart apk" then download, maelezo mengine mazuri yapo kuanzia mwanzo wa huu uziKuna apps nyingine kwenye playstore hazipo??
Ntazipata google,mfano blackmart haipo googlestore
Nidondoshee na mimi hyo mautunduYaaap
Tumia lockdownpro unaficha picha moja moja na video moja moja uitakayoNatafuta application ya kuficha baadhi ya picha za kwenye cmu yangu
Huwa ninakawaida ya kujaribu apps mbalimbali, labda niseme kwanini TSF nimeshaijaribu na nimeiona ilivyo, ni nzuri na inaoption nyingi tuu za kuiongezea uzuri zaidi kama themes nk. Ok kwa hzo luncher nipendazo kuzitumia, ni kwa sababu...
ARROW.. Hii inanirahisishia a lot of thing in one place. Kwanza bila kutumia caller or phone apps kwa launcher hii naweza kupata call records zangu, si hvyo tuu bila kuwa na apps yoyote ya office document, naweza soma pdf na word kupitia online 365 office inayopatikana humu humu, naweza pitia vitu nilivyotoka kuvifanya yaani lisent iwe niliangalia movie picha niliwasiliana nk vyote vinapatikana hapahapa, wallpaper unaweza kutumia za online zinazojibadirisha kila muda inapotoka na huwa hazijirudii... Yote kwa yote hata nafasi yake ni ndogo ktk device, na ni ya bure, inacombination za screen lock ya Next lock. Hii ni didhaa ya microsoft.
Ukija kwa ap15 kwanza haifikishi hata mb 1, anabadirisha apps zote kuwa kwa maneno bila picha na unaweza kucustomize text format coller hata kubadirisha jina la apps liwe unavyotaka wewe. Ni nyepesi na haitumii chaji sana.
Jaribu kuzijaribu utatoa ushuhuda.
Hyo nu taharifa tuu ya moja ya mambo apps hii na nyingine hufanya, kwakuwa unaweza kupata taharifa za SMS, call na kuna Ku sign in pia ndio maana ya hizo information. So usiwe na was I maana watu wakizitaka info zako wanaweza kuzipata tuu by any meansView attachment 424368 Vp na juu ya kuchunguza private information
Namanisha juu ya kuchukua information zangu kama password kusoma sms majina nk! Make nimeona warningHyo nu taharifa tuu ya moja ya mambo apps hii na nyingine hufanya, kwakuwa unaweza kupata taharifa za SMS, call na kuna Ku sign in pia ndio maana ya hizo information. So usiwe na was I maana watu wakizitaka info zako wanaweza kuzipata tuu by any means
Ikichukua inapeleka wapi?Namanisha juu ya kuchukua information zangu kama password kusoma sms majina nk! Make nimeona warning View attachment 424381
Ok niliitaji kuelewa tuu joh mbona kama umechukulia poaIkichukua inapeleka wapi?
Kama VP jisomee uelewe ukiona bado huelewi achana nayo. Coz sio hyo tuu inayotumia info zako, karibia apps nyingi hutumia info zako kwa faida yako zaidi.
Hii wala haijitaji app wewe chukua picha zote unazo taka weka kwenye folder moja kisha hilo folder anza kwa kuliwekea . nukta mfano .PichaNatafuta application ya kuficha baadhi ya picha za kwenye cmu yangu
No sijachukulia poa but, use unajiongeza japo kidogo sio kila kitu utafuniwe mpaka kulishwa...Ok niliitaji kuelewa tuu joh mbona kama umechukulia poa
Nimeipenda [emoji106]Hii ni tv apps yani kama una tv yako nyumbani unaweza ona haina maana mkuu kila tv chanel bomba ipo kuanzia mtv mpaka sky sport za football zipo mi saiv siendi tena kukesha kwenye mabanda kisa ligi ..