KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Kwanini usiangalie tu web site za ngono?wale wazee wa MOBDRO search channel inaitwa ANON, kwa mambo ya kikubwa 2
nawasilisha
Kakwambia Kwa "Wale Wa Mobdroo"Kwanini usiangalie tu web site za ngono?
3g na 4g hii ni mifumo ambayo kimsingi inahusiana na frequencies... ili iweze kufanya kazi ni lazima kuwe na kifaa (chip au ic ambayo ni maalum kwa kaz hiyo) ndani ya kifaa chako .... kwa hiyo sio suala la software update pekee ni lazma iambatane na hardware au hyo ic itakayokuwezesha kupata 4g au lte bands. Kama simu yako tayar ina huo mfumo unaweza kupata 4g kwa kubadili sim card yako .Naomba kujua kama kuna uwezo wa ku update 3G to 4G
3g na 4g hii ni mifumo ambayo kimsingi inahusiana na frequencies... ili iweze kufanya kazi ni lazima kuwe na kifaa (chip au ic ambayo ni maalum kwa kaz hiyo) ndani ya kifaa chako .... kwa hiyo sio suala la software update pekee ni lazma iambatane na hardware au hyo ic itakayokuwezesha kupata 4g au lte bands. Kama simu yako tayar ina huo mfumo unaweza kupata 4g kwa kubadili sim card yako .Naomba kujua kama kuna uwezo wa ku update 3G to 4G
The best rooting method iliyosalia hapo ni cf-auto root ... ikikataa hyo labda ungetutajia your exact model ya number ya hyo note 2 yako. Wakat mwingine huwa zinawekwa cooked roms ambazo haziendani na id halis ya simu husika. Mfano,original model ya simu inaweza ikawa gt-e250L lakin ndan ikaonyesha gt-n7100 obviously hapo kuroot kunaweza kukaleta shida.Wakuu,
Nimejaribu kutumia exploits za aina zote kwenye device yangu ya galaxy note 2 kuroot bila mafanikio. Nimetumia framaroot,toweltower,kingroot,kingo root etc. Bila mafanikio, ntawezaje kuiroot hii simu yangu?
Swali jingine,
Natumia cm security lakini kuna tatizo hili la malware na adwares mf. Zile popups ambazo ziko annoying kwa mf unashangaa lipage linajifungua linasema your phone has been infected with (4) virus... yaan hii kitu inakera balaa, mara ukiwa unachek muvi unashangaa internet au chrome inajiautostart inakupeleka kwenye links zisizoeleweka yaan matatizo ma2pu. Naomba msaada wakuu
Asee hyo arrow meiweka kwa phone angu ni nzuri sana yani dah...View attachment 424368 Vp na juu ya kuchunguza private information
bando vipi?Hii ni tv apps yani kama una tv yako nyumbani unaweza ona haina maana mkuu kila tv chanel bomba ipo kuanzia mtv mpaka sky sport za football zipo mi saiv siendi tena kukesha kwenye mabanda kisa ligi ..
chenga tyuu cjaelewa chochote, ngoja niendelee kutumia km ilivyo kwan kila kitu nakipata
Hajajua nini maana ya root, mkuu so anahaki ya kusema hivyo.acha uongo, haupati kila kitu zaidi ya kiduchu kati ya vingi vilivyoko katika rooted device.
Kiongozi hilo litawezekana tu endapo tv inauwezo au kifaa unachotumia kina support hiyo ishu. Kwa uzoefu wangu, subtitle nyingi za kudawnload ktk screen huwa hazisomeki vzr labda uangalie kupitia pc.Wakuu naomba kujua jinsi ya kufanya subtitles ya kudownlod tofauti na movie iweze kuonekana kweny Tv maana nmejaribu nmeshindwa inaonekana kwenye simu tu
Os nyngn how mkuu? Maana hii ni android osThe best rooting method iliyosalia hapo ni cf-auto root ... ikikataa hyo labda ungetutajia your exact model ya number ya hyo note 2 yako. Wakat mwingine huwa zinawekwa cooked roms ambazo haziendani na id halis ya simu husika. Mfano,original model ya simu inaweza ikawa gt-e250L lakin ndan ikaonyesha gt-n7100 obviously hapo kuroot kunaweza kukaleta shida.
Na kuhusu hzo popups the best way ni kuipa tu os nyngne maana hapo tayar hzo malware zmeweka miziz yake kwny system... na zmeshajpa priority ya kuwa sehemu ya system.
Hahah ...labda niseme kwa mtndo huu.... itabid uireinstall au uiweke software yake upya.Os nyngn how mkuu? Maana hii ni android os
Kufanya system recovery?Hahah ...labda niseme kwa mtndo huu.... itabid uireinstall au uiweke software yake upya.
Hapana mzee... kwa lugha ya kawaida huwa mnasema kuiflash tuseme.Kufanya system recovery?