Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Naomba kujua kama kuna uwezo wa ku update 3G to 4G
3g na 4g hii ni mifumo ambayo kimsingi inahusiana na frequencies... ili iweze kufanya kazi ni lazima kuwe na kifaa (chip au ic ambayo ni maalum kwa kaz hiyo) ndani ya kifaa chako .... kwa hiyo sio suala la software update pekee ni lazma iambatane na hardware au hyo ic itakayokuwezesha kupata 4g au lte bands. Kama simu yako tayar ina huo mfumo unaweza kupata 4g kwa kubadili sim card yako .
 
Wakuu,
Nimejaribu kutumia exploits za aina zote kwenye device yangu ya galaxy note 2 kuroot bila mafanikio. Nimetumia framaroot,toweltower,kingroot,kingo root etc. Bila mafanikio, ntawezaje kuiroot hii simu yangu?

Swali jingine,
Natumia cm security lakini kuna tatizo hili la malware na adwares mf. Zile popups ambazo ziko annoying kwa mf unashangaa lipage linajifungua linasema your phone has been infected with (4) virus... yaan hii kitu inakera balaa, mara ukiwa unachek muvi unashangaa internet au chrome inajiautostart inakupeleka kwenye links zisizoeleweka yaan matatizo ma2pu. Naomba msaada wakuu
 
The best rooting method iliyosalia hapo ni cf-auto root ... ikikataa hyo labda ungetutajia your exact model ya number ya hyo note 2 yako. Wakat mwingine huwa zinawekwa cooked roms ambazo haziendani na id halis ya simu husika. Mfano,original model ya simu inaweza ikawa gt-e250L lakin ndan ikaonyesha gt-n7100 obviously hapo kuroot kunaweza kukaleta shida.
Na kuhusu hzo popups the best way ni kuipa tu os nyngne maana hapo tayar hzo malware zmeweka miziz yake kwny system... na zmeshajpa priority ya kuwa sehemu ya system.
 
Wakuu naomba kujua jinsi ya kufanya subtitles ya kudownlod tofauti na movie iweze kuonekana kweny Tv maana nmejaribu nmeshindwa inaonekana kwenye simu tu
 
mkuu nnaomba mnijuze nifanye vipi ili niweze kuona sms za kawaida yaan inbox anazotumiwa mtu mwengine
 
Wakuu naomba kujua jinsi ya kufanya subtitles ya kudownlod tofauti na movie iweze kuonekana kweny Tv maana nmejaribu nmeshindwa inaonekana kwenye simu tu
Kiongozi hilo litawezekana tu endapo tv inauwezo au kifaa unachotumia kina support hiyo ishu. Kwa uzoefu wangu, subtitle nyingi za kudawnload ktk screen huwa hazisomeki vzr labda uangalie kupitia pc.
 
Jaman ndugu zanguni mm natumia iphone lkn io pawaramp naitaka ila ipo ya kununua tuu naipataje kwa simu yangu [HASHTAG]#iphone6plus[/HASHTAG]
 
The best rooting method iliyosalia hapo ni cf-auto root ... ikikataa hyo labda ungetutajia your exact model ya number ya hyo note 2 yako. Wakat mwingine huwa zinawekwa cooked roms ambazo haziendani na id halis ya simu husika. Mfano,original model ya simu inaweza ikawa gt-e250L lakin ndan ikaonyesha gt-n7100 obviously hapo kuroot kunaweza kukaleta shida.
Na kuhusu hzo popups the best way ni kuipa tu os nyngne maana hapo tayar hzo malware zmeweka miziz yake kwny system... na zmeshajpa priority ya kuwa sehemu ya system.
Os nyngn how mkuu? Maana hii ni android os
 
Back
Top Bottom