Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Msaada :
Hii parallel space inajaza nafasi kwenye simu yangu. Yaani mpk naambiwa storage runs out. Wapi naweza futa huu mzigo bila kusumbua hii app. Maana nimefuta cache zote but bado inasogea tu. Ilikuwa 70 MB but now iko 138mb
ŋɩkaɟųa ŋɩ kwaŋɠų tų kųmbҽ ŋɩ tatɩʑɷ
 
Mwanzo nlkua na download movie Show box.sasa imegoma cjui tatzo nn
 
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...

Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============
Haya kwa wale wapenzi wa insta au 'kiki' pakua hii app inaitwa real followers for instagram ujipatie free followers na likes za kuvente...
 
MSAADA
Nimeflash galaxy note 2 kwa software aina ya cm11, software imekubali kuflashi lkn camera inakataa (cant connect camera). Naomba mwenye kujua solution anisaidie.
 
MSAADA
Nimeflash galaxy note 2 kwa software aina ya cm11, software imekubali kuflashi lkn camera inakataa (cant connect camera). Naomba mwenye kujua solution anisaidie.
utakua umekosea step ktk kuiflash au iyo rom ulioweka labda haiko compatible na cm yko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…