Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wakuu naombeni mwenye Apps ya kudownload ambayo haina milolongo milefu anisaidie.
 
Nimedownload modobro wadau kwa kwl no mzur but nkisearch chanel za bongo cion na superspot pia nisaisien wadau
 
Greetings wataalamu. Msàada kwa tuta. Natumia simu yenye Chinese installed programs. Kama mnavuojua zinabore mbaya. Najaribu ku-root Huawei 7Ascend Mate sipati ushirikiano. Ni kwamba haiko tayari kuwa rooted...
Una root kwa app gani?
 
Msaada :
Hii parallel space inajaza nafasi kwenye simu yangu. Yaani mpk naambiwa storage runs out. Wapi naweza futa huu mzigo bila kusumbua hii app. Maana nimefuta cache zote but bado inasogea tu. Ilikuwa 70 MB but now iko 138mb
 
Wadau msaada kwenye tuta

Nisaidieni jinsi ya kuweka simu iwe inaonesha jina la mtandao pale juu kwenye notification bar, yaani iwe inaandika HALOTEL 3G/2G
 
Rooted ndio nn jamani maana naona tuu, uwe rooted? Msaada
Kuikomboa simu yako kutoka ktk vifungo vga kudumu vya watengenezaji ili uweze kuitumia kwa uhuru wa 100%
 
Back
Top Bottom