Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kuna hii app inaitwa umbrella antivirus, nimeijaribu tangu jana usiku, ni kiboko ya matangazo (ads).

Nikiwa online hakuna app yenye matangazo (ads) inayoleta "fyoko fyoko". Inapatikana playstore kwa atakayehitaji.
1baf6fdd8705f7b2a315759256700daf.jpg

c47a2b450de0b3418cf3b5a8ed58ac0f.jpg
 
Xe Currency Ni Moja Kati Ya App Zisizokosekana Kwenny Simu Nayotumia! Ni App Ya Kuangalia Thaman Na Viwango Vya Fedha Za Nchi Mbali Mbali, Hata Ukiihitaj Kufahamu 2000 Ya Malawi Ni Sawa Na Tshs Ngapi? Itakuonyesha!! Inakupa Option ya Kuchagua Nchi Unazotaka Kujua Thaman Za Pesa Zao. Ni Useful Kwangu Inanirahisishia Sanaa.

Sent from my V8+ using JamiiForums mobile app
Inaitwaje iyo apps
 
Ok nzuri sana iyo apps
 
ILA JAMAN NDUGU NATUMIA NOKIA XL dual sim RM 1030 Yan hii simu inapata Sana motoo nikiwasha data tuu ni shida Kama nataka kubanika nyama na Kama mnavyojua simu ikiwa inapata moto hata uwezo wa betri unapungua sasa naomba msaada Kama naweza kusolve hili tatizo na nifanyaje kwa anaejua plz
 
Greetings wataalamu. Msàada kwa tuta. Natumia simu yenye Chinese installed programs. Kama mnavuojua zinabore mbaya. Najaribu ku-root Huawei 7Ascend Mate sipati ushirikiano. Ni kwamba haiko tayari kuwa rooted...
 
Back
Top Bottom