SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,986
- 2,664
Ondoa hiyo tik kama unatumia mb.Jamn nifanyj apo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ondoa hiyo tik kama unatumia mb.Jamn nifanyj apo
HalotelUnatimia internet ya mtandao gani ...maana mm INA gomagoma
Hamna ukweli bali wanamaliza bando lako tu...Habari za asubuh kuna hii kitu kuna ukweli ndani yake? View attachment 417119
nova launcher umenena...Kwangu app hizi zimenifanya nifurahie sana simu yangu:
1. Antivirus: AVG
2. Booster: Avira
3: Message: True Messenger
4. Root: Kingo App
5. Root Manager: Kingo Superuser & Super SU
6. ZIP Manager: RAR
7. Music & Video: VLC Player
8. Browser: Firefox, Opera & Opera Mini
9. Michezo: Livescore, Soccerway & PL
10. Kuzuia matangazo: Adblock Plus (ABP)
11. Launcher: Nova Launcher
12. Kuficha taarifa muhimu: NQ Vault
13. Keyboard: Kika keyboard & Fleksy GIF
14. Screenshots: Screenshot (Lovekara)
15. Photo Editor: Photogrid (Roid Apps)
16. Pdf: Adobe reader
17. Social: Whatsapp & Instagram
18. Office: WPS Office & PDF
0714982742nashauri tu create group la whatsaapp kuhusu hii thread ili iwe active zaidi
Sijaitumia, ina sifa zipi?nova launcher umenena...
Umewahi kutumia instagram+?
Nitaitafuta mkuu.unaweza download picha+video directly bila kutumia app nyingine... unaweza kuzoom profile picture... zoom pic ya kawaida...
Good..Ww Aupati Uptdate On Time? Umefollow Unachotaka Kupata Uptdate On Time? Notifactions Umeweka On? Kma Whatsapp Unapata Uptdate, Hata Even Hapa Unapata Uptdate!!
Inapatikana google au playstoreunaweza download picha+video directly bila kutumia app nyingine... unaweza kuzoom profile picture... zoom pic ya kawaida...
http://www.mediafire.com/?mudd5n1ei61s7y7Inapatikana google au playstore
Tumia mobdro lakini supersport haipo. Beinsporsts na skysports unazipata kama mpenzi wa soka.Salaam,wakuu naomba mwenye kujua kustream supersport na beinsport online anielekeze