yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Hiyo hapo sio percentage ya betri mkuu. Ni photo editor yenyewe. Kuna option ya kuzoom picha, kila unapoizoom picha percentage hiyo inachangeHaya swali kwako na wewe, umefanyaje hadi hyo pasenteji ya betrii inaonekana hapo katikati
Poa poaHiyo hapo sio percentage ya betri mkuu. Ni photo editor yenyewe. Kuna option ya kuzoom picha, kila unapoizoom picha percentage hiyo inachange
PicsArt kila ukichora inachora rangi nyeusi. Nimetafuta hakuna option ya kubadili rangiTumia photo editor yyote kama PicsArt vile utaweza nawewe kuchora chora
PicsArt kila ukichora inachora rangi nyeusi. Nimetafuta hakuna option ya kubadili rangi
Mkuu nashindwa kabisa kubadili rangi
Nimemaliza kiu yangu mkuuTumia photo editor yyote kama PicsArt vile utaweza nawewe kuchora chora
Group wasapAongeze wapi ndugu. Acha fujo.
Ndio ila inahitaji akili ya ziada, yani uwe mbunifu kutumia features zilizopo ktk hiyo app.Hii app inaweza kuediti picha mfano kitu inabaki na rangi yake ila background inakuwa nyeusi?
Nimedownload hapa. Ngoja nijaribu nione itakuaje.Ndio ila inahitaji akili ya ziada, yani uwe mbunifu kutumia features zilizopo ktk hiyo app.
Mkuu kutoa maelekezo hapa ni kazi maana inahitaji process nyingi.Tuelekeza unatoaje background mkuu na attach hzo pic zako tuone
Ww tu...pale unapotaka ku draw kuna kibox cha kwanza kushoto ndio cha rangiMkuu nashindwa kabisa kubadili rangi
Ni pm picha mkuu naeza pata starting pointMkuu kutoa maelekezo hapa ni kazi maana inahitaji process nyingi.
Kuhusu picha labda niku pm
Kubadili background zaidi huwa natumia Effect then overlay...Ni pm picha mkuu naeza pata starting point
Mkuu hv ni app gani inayoweza ku underline text ya mtu au kuchange rangi ya text kwamfano umechapia mtu akaquote hilo neno kwa njia hyoKubadili background zaidi huwa natumia Effect then overlay...
Sms za kawaida mkuu?Mkuu hv ni app gani inayoweza ku underline text ya mtu au kuchange rangi ya text kwamfano umechapia mtu akaquote hilo neno kwa njia hyo
Social networks hasa hasa jfSms za kawaida mkuu?
Kama ni sms za kawaida am not sure kama ipo hiyo app labda kwenye social network kam jf nk ndio inawezekana
Nakumbuka kipindi nikitumia Motorola SLVR L7 kwenye mwaka 2007 enzi hizo tukitumia java apps (j2me) niliwahi kudownload application iliyokuwa inatumia Bluetooth kufanya kitu kama hicho hats jina nilishaisahau ila nahisi kama Bluetooth Explore au Bluetooth hack.Kuna maujanja gani hivi yanafanyika mpaka inawezekana mtu akatumia simu yako kuchukua salio, kutuma sms, etc.
Sjui ni kwa bluetooth au ni kwa nini wataalam mtuambie aseee. Thanks.