yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Hiyo hapo sio percentage ya betri mkuu. Ni photo editor yenyewe. Kuna option ya kuzoom picha, kila unapoizoom picha percentage hiyo inachangeHaya swali kwako na wewe, umefanyaje hadi hyo pasenteji ya betrii inaonekana hapo katikati