Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Haya swali kwako na wewe, umefanyaje hadi hyo pasenteji ya betrii inaonekana hapo katikati
Hiyo hapo sio percentage ya betri mkuu. Ni photo editor yenyewe. Kuna option ya kuzoom picha, kila unapoizoom picha percentage hiyo inachange
 
PicsArt kila ukichora inachora rangi nyeusi. Nimetafuta hakuna option ya kubadili rangi
PicsArt_11-25-01.10.12.jpg
 
Nijuzeni naweza kuangalia movie au kufanya kitu chochote kama game nikiwa na rafiki nae akaona the same movie nnayoiangalia kwenye simu yangu akaiona kwenye simu yake pia.

Is that possible jmn. Thanks.
 
Mkuu hv ni app gani inayoweza ku underline text ya mtu au kuchange rangi ya text kwamfano umechapia mtu akaquote hilo neno kwa njia hyo
Sms za kawaida mkuu?
Kama ni sms za kawaida am not sure kama ipo hiyo app labda kwenye social network kam jf nk ndio inawezekana
 
Kuna maujanja gani hivi yanafanyika mpaka inawezekana mtu akatumia simu yako kuchukua salio, kutuma sms, etc.

Sjui ni kwa bluetooth au ni kwa nini wataalam mtuambie aseee. Thanks.
 
Kuna maujanja gani hivi yanafanyika mpaka inawezekana mtu akatumia simu yako kuchukua salio, kutuma sms, etc.

Sjui ni kwa bluetooth au ni kwa nini wataalam mtuambie aseee. Thanks.
Nakumbuka kipindi nikitumia Motorola SLVR L7 kwenye mwaka 2007 enzi hizo tukitumia java apps (j2me) niliwahi kudownload application iliyokuwa inatumia Bluetooth kufanya kitu kama hicho hats jina nilishaisahau ila nahisi kama Bluetooth Explore au Bluetooth hack.
 
Back
Top Bottom