Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Hiyo haikubali.Angalia mwanzo wa link tajwa utaikuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo haikubali.Angalia mwanzo wa link tajwa utaikuta
Angalia mwanzo wa link tajwa utaikuta
Kwani wote wenye lain za chuo wapo chuo mkuu?Wengine hawako chuo mkuu wafanyaje .usijitape kwani nawe unamaliza chuo lazima utafte alternative kaka. Tupe Mahabharata
Mkuu naomba nisaidie kupata hiyo mobdro kwa simu yangu maana inaniambia can't open file may be kuna mahali nakoseaKwani wote wenye lain za chuo wapo chuo mkuu?
https://www.mobdro.com/lb/downloads/mobdro.apkMkuu naomba nisaidie kupata hiyo mobdro kwa simu yangu maana inaniambia can't open file may be kuna mahali nakosea
Mkuu naomba maelezo kidogo kuhusu hizo whatsapp+3 na +2Mimi simu yangu inavitu hivi![]()
![]()
![]()
![]()
Hii ni kwa Mwezi Chief....9,999 which naona ni economical na just enough hata kama utaitumia for 2weeks....Kifurush cha chuo cha 500 unapewa mb 500 inamaana sh 1000 utapata gb1
Sasa 1000=1gb × 7 =gb 7 kwa sh 7000
Yap but nilihisi wewe ni heavy user labda..Hii ni kwa Mwezi Chief....9,999 which naona ni economical na just enough hata kama utaitumia for 2weeks....
Mkuu sio whatsap 2 au 3 ni zaidi ya hapo hapo nimechanganya whatsap ya kawaida na whatsap plus.tatizo nashindwa kuweka link hapa ningetuma ukazidownload mwenyewe au nipe no yako nikutumie link whatsap.Mkuu naomba maelezo kidogo kuhusu hizo whatsapp+3 na +2
Pls nitumie na mimi 0627878621[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mkuu sio whatsap 2 au 3 ni zaidi ya hapo hapo nimechanganya whatsap ya kawaida na whatsap plus.tatizo nashindwa kuweka link hapa ningetuma ukazidownload mwenyewe au nipe no yako nikutumie link whatsap.
Mkuu naomba link ya kuipata hili game mkuuEbwane Mbona hizi game zinakataa Nikita kubadilisha gari simu yangu IPO rooted lakini inazingua![]()
sawa nilikua na whatsapp+ walivyoiblock na kwangu ikagoma, ngoja nikupmMkuu sio whatsap 2 au 3 ni zaidi ya hapo hapo nimechanganya whatsap ya kawaida na whatsap plus.tatizo nashindwa kuweka link hapa ningetuma ukazidownload mwenyewe au nipe no yako nikutumie link whatsap.
Nakutumia mkuuPls nitumie na mimi 0627878621[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Tayari mkuu unapata link sasa hivibado haijafika.
Mkuu unapenda mapilau hahahahahhiyo channel inaitwaje....
Li rename kwa kuonveza .apk![]()
Nikipakua hapo ikimaliza nikiclick inaniambia can't open file
umeambiwa haipo PlaystorePlay store mbona sioni
Mkuu fikiri ndo ukoment kaka ..Si kila laini ya halotel imeungwa halo universityKwani wote wenye lain za chuo wapo chuo mkuu?