Majestic wolf
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 1,248
- 1,851
Mb 200 kwa kuangalia game nzima haiwezekan nakumbuka el classico nilikua na mb200 nikaangalia dk20 tuila kwa makadirio unakadiria znaweza kufika 500MB
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mb 200 kwa kuangalia game nzima haiwezekan nakumbuka el classico nilikua na mb200 nikaangalia dk20 tuila kwa makadirio unakadiria znaweza kufika 500MB
Snaptube inafanyaje kazi?MX player pro hii ni baba lao upande wa video player
Tapatalk pia utaenjoy forums kibao tu ..mfano jf natumia Tapatalk
Ookla speed test
Hii kwaajil ya kuchek Internet speed ya mtandao wangu kwa eneo nililopo
Instagram plus..hii ni nuksi sana unaweza download videos na image za instagram kiurahis pia unaweza kuzoom picha ukiwa instagram na features kibao
Es file explore ni bonge la file manager
Snaptube kwaajili ya kushusha videos kutoka YouTube
Tubemate isiyo na adds na yenye material design
Light TubeMate 2.2.6.650 apk Modded AdFree Material Design.apk
Mobodro kwaajili ya kuenjoy tv stations za kijanja
Yani mbona apps zipo nyingi tu
Nikipata mda ntaweka link za apps zote kari tena premium zile.
Una download YouTube video mkuuSnaptube inafanyaje kazi?
Thanks mkuuUna download YouTube video mkuu
http://dl.apk4market.com/Smart-AppLock-Pro-3.16.1.apkanaejua App lock nzuri anijuze ninayoitumia kuna mda hailock.
Wakuu napata vipi premium version kwa kutumia hiyo Lucky patcher?
Mambo vp mkuu?Xperia njia rahisi ni hyo ya kingroot ila pia unaweza shift from king user to super user kwa ku update binary via super sume app hii itakuletea super su from king user
tumia kingrootMambo vp mkuu?
Aisee na mimi naomba unielekeze jinsi ya kuroot tecno c5
Nikiingia google nakutana na kingo root, je, ndo hiyo hiyo au ni nyingine?tumia kingroot
Nimenunua HTC ONE M9+ leo sijaanza hata kuitumia nata niroot kwanza unaniambiajetumia kingroot
inakubidi ujue faida na madhara ya kuroot simu then ndio ufanye uamuzi.Nimenunua HTC ONE M9+ leo sijaanza hata kuitumia nata niroot kwanza unaniambiaje
Madhara yanafahamika Lakini naonaga kwenye simu ambazo ni copy/Fake ndo huwa inazingua sana Sijasikia kwa mtu mwenye Orignal phone akilalamika au imekaajeinakubidi ujue faida na madhara ya kuroot simu then ndio ufanye uamuzi.
ukiroot simu security yake inakua low na warranty ya simu inakua invalidMadhara yanafahamika Lakini naonaga kwenye simu ambazo ni copy/Fake ndo huwa inazingua sana Sijasikia kwa mtu mwenye Orignal phone akilalamika au imekaaje
Spuul - Indian Movies & TV - Android Apps on Google PlayMie nataka app nitakayoweza pakua movie za kihindi nimejaribu nimeshindwa
MOBDRO ni app ya kuangalia TV.. (iptv)
Kwa Kutumia simu yako..
Ni app ambayo haipo Playstore..
Faida..
Ni kwamba unaweza kuangalia lots of Channel's zaidi ya channels 100.
Hasara..
Inakula sanaa mb kama YouTube.
Kazi kwako.
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk