Kaputupu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,486
- 1,174
Sorry ile ya kudownload movie za korea uliipata....Mie nataka app nitakayoweza pakua movie za kihindi nimejaribu nimeshindwa
Maana nilikutag.... Samwhere...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry ile ya kudownload movie za korea uliipata....Mie nataka app nitakayoweza pakua movie za kihindi nimejaribu nimeshindwa
Ingia website seventorrent zipo muvi za kihindi utakuwa unadownlodia kupitia utorrentMie nataka app nitakayoweza pakua movie za kihindi nimejaribu nimeshindwa
Mkuu hans ebu tusaidiane, asa niroot kwa kutumia app ipi, maana hiyo kingroot nayo inaonekana sio nzuri sana. Me na ka tecno c5 nataka na mimi nikafanye ka kijanja. Msaada plz!Mkuu hiyo super sume ilinilaza na mawazo daaah nilijuta nili intall simu wakati wa kujirestat ikawa inogomea kwenye logo ya tecno. Ilinibidi buku10 initoke leo kuiflash simu yangu.
Kingrot Ni Nzur Kwa Simu Za Mediatek Kma Hiyo Tecno. Sema Kma Iwe Feki Hilo Tatzo. Ila Kma Ni Tecno Yenywe Hakuna Shida. Ujue Pia Kuna Tecno Feki Kuna Huawei Fek Hizi Ndio Huwa Zinaleta Kizaza Kwenye Kuziroot, Huzima Moja Kwa Moja Mara Nyingi.Mkuu hans ebu tusaidiane, asa niroot kwa kutumia app ipi, maana hiyo kingroot nayo inaonekana sio nzuri sana. Me na ka tecno c5 nataka na mimi nikafanye ka kijanja. Msaada plz!
Ok! Nashukuru mkuu Erikjr.Kingrot Ni Nzur Kwa Simu Za Mediatek Kma Hiyo Tecno. Sema Kma Iwe Feki Hilo Tatzo. Ila Kma Ni Tecno Yenywe Hakuna Shida. Ujue Pia Kuna Tecno Feki Kuna Huawei Fek Hizi Ndio Huwa Zinaleta Kizaza Kwenye Kuziroot, Huzima Moja Kwa Moja Mara Nyingi.
Nenda Google Search Spesfication Za Aina Ya Simu Unayotumia Kisha Linganisha Na Simu Yako Pia Waweza Download CPU App Itakupa Spesfcatn Za Simu Yako Kma Vinaendana.Ok! Nashukuru mkuu Erikjr.
Me nilijaribu kuicheck kwa ile njia ya TCRA sio fake, kama kuna njia nyingine ya kuzitambua nisaidie mkuu ili niwe na uhakika na mambo yangu.
Ok. Ntakupa mrejesho mkuuNenda Google Search Spesfication Za Aina Ya Simu Unayotumia Kisha Linganisha Na Simu Yako Pia Waweza Download CPU App Itakupa Spesfcatn Za Simu Yako Kma Vinaendana.
Nimeihakiki kwa kutumia CPU- Z app, na pia kwa kusearch spec zake google, naona ni yenyewe.Ok. Ntakupa mrejesho mkuu
Jaribu kingroot mkuu..ndio inafaa kwa hizo simu za mtkMambo vp mkuu?
Aisee na mimi naomba unielekeze jinsi ya kuroot tecno c5
Mie ninahio Hio C5 Hio root haina madhara
Kingroot ipo mahususi kwasimu zenye mediateck chip.Na wewe umeiroot sim yako?
Ok, poa mdau!Kingroot ipo mahususi kwasimu zenye mediateck chip.
Ila baada ya kufanya rooting. Ukitaka kufanya jambo kama hujui lina madhara gani jaribu kuuliza kwanza mkuu.
Sie wengine maumivu ya root tumesha yapitia na tunapo haribu ndio unajifunza nimekosea wapi.
Super sume ni app mbadala wa kingroot sasa inapo install inaifuta kingroot yenyewe ndio inashika usukani lkn mm nilipojaribu ilichemka hivyo sishauri na wewe ujaribu kwasasa naacha tu hii kingroot.Ok, poa mdau!
Labda kwa msaada tu in advance nikisha maliza kuroot niingize apps zipi, maana naona wewe super sume ilikuletea shida. Afu hivi super sume ndio super user au ni vitu viwli tofauti kaka.
Nitaanza kuiroot simu hii baada ya kama dk. 10 zjazo mkuu.
Na kudownlodiwa ni kupakuliwa?Maana ya Ku download sikupakua
Hii framaroot ndiyo yenyeweKuna kinguser na super user
Kingroot sishauri
Tumia framaroot au njia yyte ya chainfire huyu jamaa ndo mkali wa kucheza na Samsung