Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mkuu hiyo super sume ilinilaza na mawazo daaah nilijuta nili intall simu wakati wa kujirestat ikawa inogomea kwenye logo ya tecno. Ilinibidi buku10 initoke leo kuiflash simu yangu.
Mkuu hans ebu tusaidiane, asa niroot kwa kutumia app ipi, maana hiyo kingroot nayo inaonekana sio nzuri sana. Me na ka tecno c5 nataka na mimi nikafanye ka kijanja. Msaada plz!
 
Mkuu hans ebu tusaidiane, asa niroot kwa kutumia app ipi, maana hiyo kingroot nayo inaonekana sio nzuri sana. Me na ka tecno c5 nataka na mimi nikafanye ka kijanja. Msaada plz!
Kingrot Ni Nzur Kwa Simu Za Mediatek Kma Hiyo Tecno. Sema Kma Iwe Feki Hilo Tatzo. Ila Kma Ni Tecno Yenywe Hakuna Shida. Ujue Pia Kuna Tecno Feki Kuna Huawei Fek Hizi Ndio Huwa Zinaleta Kizaza Kwenye Kuziroot, Huzima Moja Kwa Moja Mara Nyingi.
 
Ok! Nashukuru mkuu Erikjr.
Me nilijaribu kuicheck kwa ile njia ya TCRA sio fake, kama kuna njia nyingine ya kuzitambua nisaidie mkuu ili niwe na uhakika na mambo yangu.
 
Ok! Nashukuru mkuu Erikjr.
Me nilijaribu kuicheck kwa ile njia ya TCRA sio fake, kama kuna njia nyingine ya kuzitambua nisaidie mkuu ili niwe na uhakika na mambo yangu.
Nenda Google Search Spesfication Za Aina Ya Simu Unayotumia Kisha Linganisha Na Simu Yako Pia Waweza Download CPU App Itakupa Spesfcatn Za Simu Yako Kma Vinaendana.
 
Kingroot ipo mahususi kwasimu zenye mediateck chip.
Ila baada ya kufanya rooting. Ukitaka kufanya jambo kama hujui lina madhara gani jaribu kuuliza kwanza mkuu.
Sie wengine maumivu ya root tumesha yapitia na tunapo haribu ndio unajifunza nimekosea wapi.
Ok, poa mdau!
Labda kwa msaada tu in advance nikisha maliza kuroot niingize apps zipi, maana naona wewe super sume ilikuletea shida. Afu hivi super sume ndio super user au ni vitu viwli tofauti kaka.
Nitaanza kuiroot simu hii baada ya kama dk. 10 zjazo mkuu.
 
Super sume ni app mbadala wa kingroot sasa inapo install inaifuta kingroot yenyewe ndio inashika usukani lkn mm nilipojaribu ilichemka hivyo sishauri na wewe ujaribu kwasasa naacha tu hii kingroot.
Kuhusu app inategemea na wewe sasa unapendezwa na app zipi maana zipo ambazo zinahitaji simu iwe rooted ili zifanye kazi vzr.
Mm baada ya ku root sipo deep sana nime weka ifont kwaajili ya ku badali style za maandishi, nime activate anti theft, pia nina chakachua baadhi ya app na games kwa lucky patcher na gamegardian.
Pia na control app zikiwemo na za system kwa kuzi freeze zisifanye kazi ilikupunguzia ram mzigo.
 
Kwa wale wenye kusumbuliwa na adds kweny browser zao

Tumia adblock browser ipo play store. .hii no adds utazosumbuliwa nazo wala popups zozote ukiwa una browse
 
Back
Top Bottom