Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 496
- Thread starter
- #381
Bomba sanaKwa wale wenye kusumbuliwa na adds kweny browser zao
Tumia adblock browser ipo play store. .hii no adds utazosumbuliwa nazo wala popups zozote ukiwa una browse
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bomba sanaKwa wale wenye kusumbuliwa na adds kweny browser zao
Tumia adblock browser ipo play store. .hii no adds utazosumbuliwa nazo wala popups zozote ukiwa una browse
Me natumia adaway!!!!!!Bomba sana
Mkuu nimefanikiwa kuroot simu yangu, lakini nashindwa kuichomoa play store, nifanyeje? Maana meinstall root checker nikaambiwa your device is successfully rooted. By still control ya hzo apps cna.Kwa wale wenye kusumbuliwa na adds kweny browser zao
Tumia adblock browser ipo play store. .hii no adds utazosumbuliwa nazo wala popups zozote ukiwa una browse
Ukiroot kuna app ya super su au king user itaongezeka kweny apps zako je ww umeiona moja wapo?Mkuu nimefanikiwa kuroot simu yangu, lakini nashindwa kuichomoa play store, nifanyeje? Maana meinstall root checker nikaambiwa your device is successfully rooted. By still control ya hzo apps cna.
Hapana, sijaiona.Ukiroot kuna app ya super su au king user itaongezeka kweny apps zako je ww umeiona moja wapo?
Umetumia nn kuroot?Hapana, sijaiona.
Nmetumia kingroot v4. 8....., nikicheki kwenye root checker kuna sehemu pameandikwa "Booloader unknown"Umetumia nn kuroot?
Unatumia simu ganNmetumia kingroot v4. 8....., nikicheki kwenye root checker kuna sehemu pameandikwa "Booloader unknown"
Bt wakati naanza kuroot iliandika "Try root now" pale ambapo huwa panaandikwa "start root"
Vp nmekosea mkuu?
Tecno c5Unatumia simu gan
Ilitakiwa ilete king user..sasa naona kama device yako haijawa rooted vizur au haina root kabisaTecno c5
Naomba nisaidie steps za kuroot kwa kutumia hiyo framaroot.Ilitakiwa ilete king user..sasa naona kama device yako haijawa rooted vizur au haina root kabisa
Jaribu frama root
Mimi nimeroot samsung yangu kwa s4 kwa king root na inapiga mzigo vizuri tu.na wala sio mchina.tena nawashauri wenye s4 mroot ni kutumia king root ni rahisi sana.kabla nilikuwa na s4 nyingine nilijaribu kuroot na frama root wapiii ikagoma ikaja kukubali kwa cf ile through odin.so easy way to root samsung s4 without pc ni kutumia kingrootKingroot ipo mahususi kwasimu zenye mediateck chip.
Ila baada ya kufanya rooting. Ukitaka kufanya jambo kama hujui lina madhara gani jaribu kuuliza kwanza mkuu.
Sie wengine maumivu ya root tumesha yapitia na tunapo haribu ndio unajifunza nimekosea wapi.
Sasa wewe umetumia link gani maana mimi nimeroot kwa kutumja iyo kingroot lakn nikicheck, pale kwenye booloader inaandika unknown.Mimi nimeroot samsung yangu kwa s4 kwa king root na inapiga mzigo vizuri tu.na wala sio mchina.tena nawashauri wenye s4 mroot ni kutumia king root ni rahisi sana.kabla nilikuwa na s4 nyingine nilijaribu kuroot na frama root wapiii ikagoma ikaja kukubali kwa cf ile through odin.so easy way to root samsung s4 without pc ni kutumia kingroot
![]()
![]()
![]()
Haya mambo ya kuroot simu kwangu umefika kikomo kila nikiroot baada ya siku kadhaa inazingua mara mtandao unakatakata mara inajireboot yenyewe nimeua simu zangu mbili ksbb ya kuroot..Mimi nimeroot samsung yangu kwa s4 kwa king root na inapiga mzigo vizuri tu.na wala sio mchina.tena nawashauri wenye s4 mroot ni kutumia king root ni rahisi sana.kabla nilikuwa na s4 nyingine nilijaribu kuroot na frama root wapiii ikagoma ikaja kukubali kwa cf ile through odin.so easy way to root samsung s4 without pc ni kutumia kingroot
![]()
![]()
![]()
Niuzieni Mimi hizo simu,hazijafa zimezilai tu ukiiamsha inaamkaHilo ni kweli uki root simu ambayo ni fake kwenye kuji reboot itaishia hapo hapo au isiwake kabisa, mimi hilo lilishanikuta.
Simu ilikufa jumla.
Kuna Simu Ukitaka Kuziroot, Pale Zinapojiboost Haziwakii Tenaa!! Mara Nyingi Huwa Feki Hazina Ubora.