COMRADE 07
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 337
- 150
hebu nisaidie hiyo ishu mkuuBila rooting huwez enjoy simu yako. Sema tu wengi hawana elimu na hii ishu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hebu nisaidie hiyo ishu mkuuBila rooting huwez enjoy simu yako. Sema tu wengi hawana elimu na hii ishu.
weka link mkuuI search google ndo utaipata kirahisi then install
Utakua umei disablePlay store mbona sioni
Kuiroot kivipiSimu yangu ni ya halotel so SIM 1 inaingia line ya halotel pekee.
Ukikosea ikaweka line ya halotel ktk SIM 2 hujifunga na kukataa line ya mtandao mwingine ktk SIM2. Huwez kutatua tatizo hapo mpaka ui-root simu ndo hiyo lock inatoka.
simple mkuu download bluetooth application sender u a doneNaomba kujua njia ya kurusha apps kutoka simu moja hadi nyingine
Mi nimeinstall lakin nikifungua inaleta option ya kusign in nimeji register bado inakataaNimejaribu uktvnow inaonekana iko vizuri zaidi kuliko mobdro ...haigandigandi sana
Tafuta playstore app inaitwa Xender ila unae mrushia nae awe nayo.Naomba kujua njia ya kurusha apps kutoka simu moja hadi nyingine
Tumia Perfect applock ni nzuri kwani inaweza kumpiga picha yule atakayejaribu kufungua password na kuisave ukija badae unamuona mbaya wakoApp lock ipi nzuri wakuu?
Kuna njia nyingi. Moja wapo ni kama kutumiaNaomba kujua njia ya kurusha apps kutoka simu moja hadi nyingine
Nyingne complications tu. Hata kama ipo (japo sidhani ka ipo).. mtu kama amedhamiria kuipata ata Screenshot tu[emoji12]Naomba kujua App inayosaidia mtu akitaka ku save profile picture yako ya whatsapp igome...
Ahsante mkuuTumia Perfect applock ni nzuri kwani inaweza kumpiga picha yule atakayejaribu kufungua password na kuisave ukija badae unamuona mbaya wako