Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wakuu nwenye kujua app nzuri ya kublock "kuzuia" namba lengwa isiingie "kuita" kwenye simu yangu na sms yake km ipo, haswa simu naomba nijuzwe
 
Wakuu naomba msaada Nina Tecno H6 inawaka lakini haimalizi logo ili iwake kabisa mafile yafunguke. Yani inajirudia rudia haiwaki moja kwa moja.
Naomba msaada wa mawazo kabla sijaipeleka kwa fundi.

==>Firstly , POWER OFF Your Phone
==> Next , Press and hold
Volume Up, Home and Power button
==>When Tecno Symbol/name
appears, release the Power
button
==>A Boot Menu will then show, Use the
volume up/down to choose and home to
select
==>Select the option “Wipe
Data/ Factory Reset”

kisha pia wipe cache partition

and then reboot
 
==>Firstly , POWER OFF Your Phone
==> Next , Press and hold
Volume Up, Home and Power button
==>When Tecno Symbol/name
appears, release the Power
button
==>A Boot Menu will then show, Use the
volume up/down to choose and home to
select
==>Select the option “Wipe
Data/ Factory Reset”

kisha pia wipe cache partition

and then reboot
Mkuu imegoma tatizo bado liko palepale
 
Mkuu nahisi hujafuata hizo hatua vizuri hata kama ungekuwa mchina ungewaka
kaka naomba nisaidie nikijaribu kuiroot kupitia hiyo njia inaniandikia kichina sasa mimi na kichina wapi na wapi ila awali nilikuwa nairoot na ilikuwa inaandika kiingereza naomba msaada tafadhali nifanye nn.
 
Hiyo simu ikiwa imezimwa(kifupi toa battery halafu weka tena) halafu bonyeza kwa pamoja Power button na Volume down button kwa pamoja hadi sekunde kama 10 itawaka itakuonesha android robot subiri italeta maandishi machache hivi angalia neno factory reset au wipe data shuka hadi hapo kwa kutumia volume down button ukifika kwenye hilo neo bonyeza power button subiri
 
Nenda playstore download root cheker angalia kama simu ipo rooted ikikwambia bado root upya

Je simu yako ni aina gani na ni MTK AU
 
Hiyo simu ikiwa imezimwa(kifupi toa battery halafu weka tena) halafu bonyeza kwa pamoja Power button na Volume down button kwa pamoja hadi sekunde kama 10 itawaka itakuonesha android robot subiri italeta maandishi machache hivi angalia neno factory reset au wipe data shuka hadi hapo kwa kutumia volume down button ukifika kwenye hilo neo bonyeza power button subiri
mimi huwa nafata huo utaratibu ila inaleta kichina awali ilikuwa inaleta kiingereza ila sasa hv n kichina tupu .
 
Mkuu imegoma tatizo bado liko palepale
f883e0c2379e856e1741b879fa8a9e37.jpg
134934ae5db42b70d0a065b64aa6db6e.jpg

Ikigoma volume down jaribu volume up+power button hold kwa pamoja hadi simu iwake ikuletee kama kwenye picha hapo
 
Back
Top Bottom