Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

TIGO Na YouTube ya bure sijajua inakuajekuaje lakini tangu waanzishe hii kitu ikifika hiyo mida ya saa sita huwa natumia youtube, playstore, na naperuzi website yoyote na kudownload kupitia browser ya chrome na kudownload file lolote ili mladi liwe kwenye link za google drive na kwa speed ile ile, sasa sijajua ni kwangu tu au vipi.!!!
 
Mwenye link za kudownload game la gta vice city na need for speed most wanted naomba tafadhari. Game za kwenye pc
 
Achaa kabisa jombaaas angekuwa mjeda wangu hajaokoka ningemshauri atazame playboy tv na the hustler tv [emoji260] [emoji260] [emoji260] [emoji260]
Hiyo ANON na Venus sijawai ziona ila hustler na playboy naziona japo kuna kipindi walizichomoa

a5bbabf33924da382ceb093e8c25d635.jpg
 
Back
Top Bottom