Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Naomba msaada jinsi ya kuinstall kweny PC MOBDRO and jee kwenye IPHONE'S kunajinsi yakuinstall..??
Kwanza install bluestack. Bluestack inakuwezesha kudownload apps za android kupitia kwenye PC yako. Ukishamaliza add account kama unavyofanya kwenye play store. Then download mobdro. Save kwenye hiyo PC. Then nenda upande wa kushoto wa bluestack kuna sehemu imeandikwa apk. Click hapo itaku direct kwenye PC utaenda hadi pale ulipo save ile mobdro then uta install. Baada ya hapo unaweza kuitumia kama kawaida kwenye PC. Kwa maelezo zaidi tembelea website yao wameeleza manake hata mimi ndio nimefuata hayo maelekezo yao. Utakuta link ya bluestack na mobdro.
 
Kwa wale mnao taka kutumia App za android katika PC funga hapa Phoenix OS
Dawnload hiyo file lina mb 300 na...
Baada ya kudawnload install katika Pc maelekezo yake ni rahisi mno.
Tena kama pc yako ina partition basi install kwenye storage ambayo haina window.
Credit to Chief-Mkwawa
 
Jamqn Humu Ni Sheeda, Sasa Basi Nipeni App Ya Kujua Fikra Za Shem Wenu Akiwa Anachepuka Maana Mmenifurahisha App Zote Zipo Ila Hiyo Tu Hamna.

SWALI_ Nikimfumania Nitaweza Kumuacha?!, mmh
 
Jamqn Humu Ni Sheeda, Sasa Basi Nipeni App Ya Kujua Fikra Za Shem Wenu Akiwa Anachepuka Maana Mmenifurahisha App Zote Zipo Ila Hiyo Tu Hamna.

SWALI_ Nikimfumania Nitaweza Kumuacha?!, mmh
Muwekee mobile tracker then ukisuspect unusual activities unamtrack alippo
 
ukisikia wimbo unapiga mfano kwenye radio au sehemu ya burudani ni kawaida kutaka kujua wimbo ni wa kikundi au msaanii yupi. App itwayo Shazam inakuwezesha kujua kikundi au msaani wa nyimbo baada ya app "kusikiza" wimbo kwa sekundi kadhaa. App pia inakupa lyrics za wimbo na orodha ya nyimbo za kikundi au msaanii. Ipo play store. Inatambua miziki mingi ya majuu na baadhi ya wasanii wetu.
 
Mkuu ipo na musixmatch zote zko powaa
 
Mkuu me nna tatizo kama hlo, unajua jinsi ya kupata?
Kama unatatizo kama hilo yaani cm ni i9082 nitafute eidha kwa PM ili kama utapenda nitakutumia namba ili tuchati kwa whatsapp. Feel free kwa mwenye cm ya grand duos i9082.
 
Back
Top Bottom