Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Naombeni msaada jinsi ya kuifanya OTG cable isome kwenye tecnol h5.. ...
 
Hatubishani, ila ninachosema nakijua, natumia Tecno L8 na nimekuwa nabadilisha font, nikiichoka naitoa inabaki ya asili, kumbuka "unapo restore simu unairudisha kwenye mpangilio wa kiwandani"
Sasa kaka hiyo L8 si ina HIOS ambayo huwa inakuja na App ya font ambazo uki restore simu simu inarudi katika mfumo wa awali.
Sasa mwenye tatizo yeye ameroot simu na ametumia app inatwa ifont kubadili font ya simu yake.
Na kikawaida hiyo app kwa njia uliyo sema haiwezi kurudisha original font.l, zaidi utafuta tu file zako kwenye simu.
 
Jaman mie naomben ushaur.... Sim yangu ya tecno j7 inasumbua sana kwenye kucharg... Badala ya kujaa wakat nacharg yenyewe inanyonya hadi inafikia hatua ya kushundwa kuwaka... Nishanunua charg hadi nimechoka sijaona mabadiliko. Ushaur wenu tafadhali
 
Habar mimi nina tatizo linalofanana kidogo na la huyo jamaa....Nilikuwa natumia ifont kubadili font then later nikaamua kurudisha font ya kawaida ya simu.

Bt tatizo ambalo naliexperience mpk leo ni kwamba....Font imebadilika na kuwa ile ya kawaida ya simu BUT font ya kwenye MESSAGE imebaki kuwa ile ya ifont.

Nimerestore simu, nimeuninstall ifont nimejaribu mambo mengi lakin font ya kwenye message ipo ile ile ya kwenye ifont na kwengine kotr kwenye simu kupo kawaida.

Nifanyaje wadau?????
 
Huwezi irudisha, labda uka flash. Tumia hiyo Ifont tafuta font inayofanana na ile zipo tu nyingi.
Na kama font itakuwa na resolution kubwa tumia app ya font editor kupunguza ukubwa wa maandishi. Coz naamini hiyo simu ume root.
Yaah nimesha unstall lakn font ni ilele font haitoki alafu samahani sio ifont nilitumia HIFONT
 
Back
Top Bottom