The Verteller
Senior Member
- Jun 13, 2016
- 182
- 269
Inakua na tofauti gani ma wattsApp ya kawaidaNisaidie link mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakua na tofauti gani ma wattsApp ya kawaidaNisaidie link mkuu
Hii ina feature nyingi sana na tofauti na watsap ya kawaida, in short ni nzuriInakua na tofauti gani ma wattsApp ya kawaida
Ok mkuu ko unapo install inaanza upya au unaendelea na zile chat za zamani ulikuanazo nazungumzia zile threadsHii ina feature nyingi sana na tofauti na watsap ya kawaida, in short ni nzuri
Noo, hii ni waatsaap nyingine so inamaana utakua na watsaap mbili, ya zaman na hii gbwatsaapOk mkuu ko unapo install inaanza upya au unaendelea na zile chat za zamani ulikuanazo nazungumzia zile threads
Nimeiona googleNoo, hii ni waatsaap nyingine so inamaana utakua na watsaap mbili, ya zaman na hii gbwatsaap
Tumia luckypatcher kuichakachuà itakuletea premium versionMkuu iyo power amp uliinunuaje maana kule playstore napata trial version ku purchase nashindwa
Jiandae kutembea na panado kwa ajili ya kutuliza maumiv pia tafuta dr wa kuhandle mapigo ya moyoMsaada wa App inayonieezesha kupata meseji na calls zote za mtu kwenye simu yangu
nilirestore simu lakini font iliobaki kwenye simu yangu ni ile niliokua naitumia mara ya mwisho. Ile iliokuja na simu kabla sijabadili iligomaHatubishani, ila ninachosema nakijua, natumia Tecno L8 na nimekuwa nabadilisha font, nikiichoka naitoa inabaki ya asili, kumbuka "unapo restore simu unairudisha kwenye mpangilio wa kiwandani"
Ikoje kwanza hiyo font inayokuumiza kichwa?nilirestore simu lakini font iliobaki kwenye simu yangu ni ile niliokua naitumia mara ya mwisho. Ile iliokuja na simu kabla sijabadili iligoma
Siikumbuki inaitwaje ula niliioata baada ya kudownload ifontIkoje kwanza hiyo font inayokuumiza kichwa?
naweza pata link yake?Noo, hii ni waatsaap nyingine so inamaana utakua na watsaap mbili, ya zaman na hii gbwatsaap
Nime i download hii whatsapp ila nina ile whatsapp ya zamani vp nifanyeje ili nianze kuitumia make saiv zimo whatsapp mbiliNilichokipenda kwenye GBWHATSAPP
Kutuma picha 99 kwa mara moja
Theme design
Toast notification ya friend akiwa online
Privacy hide last seen
Inatumia memory ndogo ya simu
Kiukwel ukiingia kwenye gbwhatsapp hutatoka.
Use the 24.15mb button
GBWAv4.81.apk
unamaanisha unataka uwe unamspy mtu au...JAMANI MBONA MSAADA WA APP ITAYOWEZA KU TRACK SMS NA CALLS ZOTE ZA WATU WANGU KATKA PHONE YANGU SIPEWI WADAU MWISHO NAPEWA MINANGO TU! MAPIGO YA MOYO KWA NI CONSTANT DIFFERENTIATED SO JUST GIMME THAT APP
Hapana si kwa lengo la kuspay.unamaanisha unataka uwe unamspy mtu au...